• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Mipangomiji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Idara ya Maji na Usafi wa Mazingira
      • Idara ya Utumishi na Utawala
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SINGIDA AHIMIZA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZINAZOTENGENEZWA NA VETA KWA SABABU ZINAKIDHI VIWANGO KATIKA SOKO LA NDANI NA NJE YA NCHI

Wednesday 11th, December 2019
@

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amewahimiza Watanzania kununua na kutumia bidhaa zinazotengenezwa na Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) nchini ili kukuza uchumi na kuongeza fursa za ajira kwa Watanzania.Mkuu wa mkoa wa SINGIDA ametoa wito huo katika Mahafali ya wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi RC Mission VTC wilayani Manyoni mkoani Singida alipokuwa akizungumza na wahitimu, wanafunzi, wazazi na viongozi mbalimbali wa Serikali ya halmashauri ya wilaya ya Manyoni waliohudhulia Mahafali hayo.Dkt. Nchimbi katika mahafali hayo amesisitiza, Halmashauri zinapaswa kutambua maarifa na matunda ya vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kutangaza bidhaa zao kwani zinatengenezwa kwa ufanisi na ubora unaotakiwa.Mahafali ya wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi RC Mission VTC, Wilayani Manyoni mkoani Singida, yaliambatana na maonyesho ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na  wanafunzi hao ikiwemo fanicha, nguo mbalimbali (batiki), pamoja na huduma za magari na umeme.Kwa upande wao wahitimu wa chuo cha ufundi stadi RC Mission VTC wameiomba Serikali ya halmashauri ya Manyoni kuwatambua wanafunzi hao kwa kazi nzuri wanazofanya.Jumla ya wanafunzi 49 wamehitimu mafunzo ya Ufundi Stadi kati ya hao wasichana waliohitimu ni 4, suala ambalo Dktr. Rehema Nchimbi amesema wasichana wanapaswa kutambua nao wanahaki sawa kama ilivyo kwa wanaume, na kuahidi kuwalipia ada wanafunzi wa kike 3 kwa fani ya umeme 1 na ufundi magari 2, ikiwa kama motisha kwa wengine.


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA January 24, 2019
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 December 17, 2018
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • DKT. REHEMA NCHIMBI, AZINDUA RASMI HUDUMA ZA CHF ILIYOBORESHWA, MKOANI SINGIDA

    April 11, 2019
  • MKOA WA SINGIDA WAANZA KUCHUKUA HATUA KATIKA KUKABILIANA NA HALI DUNI YA LISHE KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO

    November 14, 2018
  • DIWANI WA MANISPAA YA SINGIDA AFARIKI DUNIA

    May 22, 2018
  • Uzinduzi wa bodi ya kituo cha msaada wa kisheria WASS Manispaa ya Singida

    March 15, 2018
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.