• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Leseni za Biashara

UTARATIBU WA KUPATA LESENI ZA BIASHARA

Leseni zote za Biashara hutolewa chini ya Sheria ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake yaliyofanyika mwaka 1980. Mwombaji wa leseni ya biashara anapaswa ajaze fomu ya maombi ya leseni TFN 211 (BUSINESS LICENSE APPLICATION FORM).

Leseni za Biashara zimegawanyika katika makundi mawili:

KUNDI A:

 Leseni hizi hutolewa na Wizara ya viwanda na Biashara ambazo ni;

  • Umiliki/ujenzi majengo/wakala wa mali(Estate Agent, Estate Developer,Property Management, Real Estate Agent)
  • Wakala wa Shughuli za Meli (Shipping Business)
  • Uendeshaji wa shughuli za meli(shipping agency)
  • Commercal traveler
  • Wakala wakupokea na usafirishaji mizigo(clearing and forwarding/freigh forwarders)
  • Bima(insurance andassurance broker,re-insurance)
  • Biashara za kitalii(tourist hotels,lodgws,camps,tour operations,hunting safaris,travel agent,car hiring or renting,tourist photographic and tourist promotion)
  • Benki na huduma za fedha(banking and financia institutions,capital market &credit card management, stock  exchange& stock  exchange brokers.
  • Usafirishaji wa abiria na mizigo kwa ngede(transpostation of passengers or goods by air)
  • Huduma za posta(postal services)
  • Usafirishaji wa abiria na mizigo kwa reli(transportation of passenger  or goods by railway)
  • Huduma za mawasiliano(tax,telex,e-mail,internet services provider,internet café,internet surfing,telecommunication services and sales of telecommunication equipment.)
  • Uthamini wa mizigo(cargo valuation, cargo superntendence and pre-shipment inspection)
  • Uhesabu na upangaji wa mizigo melini(cargo talling)
  • Bandari(harbours and cargo handling)
  • Utengenezaji na usambazaji umeme(electricity production and distribution)
  • Maduka ya kubadilish fedha(bureua de change)
  • Kupakia na kupakua mizigo melini(stevedoring  and lighterage)
  • Wakala wakusafirisha vifurushi na barua(couries services and mail agent)
  • Vituo vya radio na television(broadcasting &television)
  • Ship chandlers/miscellaneous port services
  • Usafirishaji wa mafuta mazito(refining crude oil)
  • Klabu za usiku(night club)
  • Uuzaji na usambazaji wa silaha na risasi(dealers in arms and ammunition)
  • Uuzaji na Usambazaji wa baruti(dealers in explosives)
  • Huduma ya hifadhi ya jamii(social security provider)
  • Uuzaji bidhaa nje(export and selling)
  • Uchimbaji na usambazaji maji (water drilling nad supply)
  • Uuzaji wa vifaa vya utangazaji(manufacturing and selling)
  • Ununuaji na uuzaji wa magari(motor vehicle dealers)
  • Wakala wa ushuru(commission agent or manufacture’s representative)
  • Uuzaji wabidhaa nje ya nchi(imort and selling)
  • Sonara na biashara ya madini(gold and silver smith and gemstone dealers)
  • Biashara yoyote ambayo haikutajwa yenye sura ya kitaifa au kimataifa au inayoongozwa na sera.(any business ot national or international nature or governed by policy)

KUNDI B:

Maombi yapelekwe halmashauri ya wilaya/mji/manispaa/jiji ambalo pia itapokea ada nakutoa leseni (to be sent to licencing  officer of district/town/municipal or city council who will also collect the licencing fees and issue the licence)

  • Wakala wa bima(insurance agent)
  • Mgahwawa,hotel za kawaida, nyumba  za kulala wageni(restaurant  and ordinary hotels &guest house)
  • Mnada(auctioneer)
  • Kutembeza bidhaa(ineterant trade)
  • General merchandizing(super market,departmental store etc)
  • Kampuni za biashara za mikoa(regional trading companies)
  • Vyama vya ushirika(co-operative societies)
  • Ujenzi wa kondrasi(building contractors,mechanical contractors,civil works,contractors etc)
  • Utaaalam na ushauri wa kitaalamu(specified proffessionals)
  • Uchapishaji vitabu na magazeti(printing and publishing of books and newspapers)
  • Vipuri(spire part,machine tools)
  • Udalali(broker)
  • Usafirishaji wa  abiria mijini(transportation of passengers with the city,municipal and township)
  • Viwanda vidogo(small scale manufacturing and selling)
  • Simu za kwenye vibanda(attended telephone service)
  • Biashara yoyote ambayo haikutajwa  na ambayo sura ya kimataifa  naisiyoongozwa na sera(any other businnes which is not of national /international nature or not govemed/proceded by policy)

 

 MASHARTI YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KWA MAKUNDI “A” NA ”B”

(APPLICATION REQUIREMENTS  FOR  BUSSINESS LISENCE IN SCHEDULE “A” AND “B”)


Fomu za maombi ziambatanishwe na (attach application forms with):-

  1. Photocopy ya certificate of incorporation au registration,kama ni jina la biashara (attach  photocopy of certificate of incorporation (in case of a company)or certificate of registration in case of bussiness name and extract)
  2. Kama ni kampuni,”memorandum, and articles of association”ambazo zitaonyesha kuwa kampuni  kuwa kampuni imeruhusiwa kufanya biashara anayoiomba(memorandum  and article of association showing among other things,that objectives of the compuny allows it to do the bussines which is being applied)
  3. Uraia:photocopy ya passport ya Tanzania  au cheti cha kuzaliwa au hatiya kiapo (affidavit)kuonyesha kuwa ni mtanzania,na kama mgeni alete hati ya kuishi nchini daraja “A”(residence permit class “A”)inayomruhusu kuwekeza katika biashara  hiyo.(proof of Tanzania  citizenship e.gphotocopy of passport,birth certificate or in case of non citizen, residence permit class “A”-showing the holder to be investor in that company /bussiness).
  4. Endapo wenye hisa wote  wa kampuni wapo nje ya nchi itabidi maombi yaambatane  na hati ya kiwakili  (powers of attorney )(in case the shareholder of the compuny are non-residents,powers of attomey to a citizen /resident should  be submitted/attached).
  5. Alete ushahidi wa maandishi kuwa ana mahalli pa kufanyia biashara (proof by the applicant having a title deed,tenancy agreements, receipts of rent or property payment).
  6. Hati ya kujiandikisha kama mlipa kodi TRA(tax payer identification number(TIN)

MASHARTI  YANAYOHUSU BIASHARA MAALUM(ADDITIONAL REQUIREMENT FOR SPECIFIC BUSSINNES)

  1. Leseni ya wakala wa forodha (customs agency licences)kwa biashara ya clearing anda forwarding tu.(customs agency licence (CAL)for those applying clearing and forwarding  licence)
  2. Tourism agency licence (TALA) kwa biashara za utalii tu mfano mahoteli ya kitalii,travel agency(wakala a usafiri ),tour operators n.k(tourist agency (TALA)-for those applying licences related to tourist promotion e.g tourist  hotels,travel agency,tour operators,hunting etc.
  3. Hati ya utaalam (professional certificates)-kwa biashara zote za kitaalam-mfano leseni za kuendesha hospitali, zahanati,udaktari,sheria,uhandisi,urubani wa ndege captain wa meli n.k(professional certifices/authority for all professional busineses e.g running hospital, dispensaries advocates,pilots,ship captains etc).
  4. Hati zinazohusu  chombo kufanya  kazi ya uchukuzi (air worthness kwa ndege na sea worthiness kwa meli)certificate to authorize aircraft to fly(air wortiness)or ship to sail (sea worthiness))


MALIPO

Serikali ilirudisha rasmi utoaji wa ada za leseni za biashara kupitia Sheria ya Fedha na 5 ya mwaka 2011. Kutokana na marekebisho hayo, Utaratibu wa kutoa leseni za biashara bila malipo uliondolewa na kurudishwa ada ya Leseni kuanzia tarehe 30 Juni, 2013.

Kiwango cha ada ya leseni kinatofautina kulingana na aina ya biashara husika na eneo ilipo biashara hiyo. Mfano: Kiwango cha ada za Lesseni kwa Halamshauri ya Jiji na Manispaa ni tofauti na za Halamshauri ya Wilaya na maeneo ya vijijini.

Baada ya ulipaji wa ada hiyo mfanyabiashara atapatiwa stakabadhi kwa malipo halali ya Fedha yake


ADHABU

Mnyabiashara atakayekutwa anafanya biashara bila kuwa na Leseni atatozwa faini ya kuanzia Shs 50,000/= - hadi 300,000/= au apelekwe mahakamani hii imeainishwa kutoka kifungu Na. 10 (1) (b).


WAJIBU WA MFANYABIASHARA

  • Kulipia kila mwaka Lesseni ya Biashara yako kwa mujibu wa makadirio
  • Ni jukumu la kila mfanyabishara kumiliki lesseni katika eneo lake la biashara na kuiweka mahala pa wazi ili kuonekana kwa urahisi.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 29, 2025
  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.