• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Mipangomiji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Idara ya Maji na Usafi wa Mazingira
      • Idara ya Utumishi na Utawala
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Idara ya Mazingira

IDARA YA MAZINGIRA NA UDHIBITI WA TAKA NGUMU

Ni miongoni mwa idara 13 zinazounda Halmashauri ya Manispaa ya Singida

SEHEMU ZA IDARA

Idara ina sehemu kuu 2

  • SEHEMU YA MAZINGIRA
  • SEHEMU YA UDHIBITI WA TAKA NGUMU

MAJUKUMU YA IDARA 

Idara ya mazingira na udhibiti wa taka ngumu ina majukumu yafuatayo:

  • SEHEMU YA MAZINGIRA
  • Kusimamia na kutekeleza sera ya taifa ya mazingira,sheria ya usimamizi wa mazingira kuhusu masuala ya hifadhi ya bioanuai yaliyobainishwa katika  sera,sheria,kanuni, miongozo,mikakati,mipango na program mbalimbali.
  • Kushauri kamati ya mazingira ya Halmashauri Manispaa katika shughuli zote zinahusu mazingira.
  • Kufuatilia na kutathmini athari za uchafuzi wa mazingira katika makazi, viwanda, migodi, ujenzi, biashara, kilimo na ufugaji.
  • Kufuatilia utekelezaji wa utaratibu wa tathmini ya athari za mazingira kwa shughuli zinazotakiwa kufanyiwa tathmini ya mazingira kama zilivyobainishwa katika sheria ya usimamizi wa mazingira na kanuni zake.
  • Utunzaji /Uhifadhi wa mazingira na bioanuai
  • Kusimamia utunzaji wa vyanzo vya maji kwa kudhibiti utekelezaji wa shughuli yoyote inayoweza kuleta athari katika maeneo ya mito, maziwa, bahari na mabwawa.
  • Kuhamasisha jamii kupanda miti na upendezeshaji wa mazingira na mandhari ya mji.
  • 2.) SEHEMU YA UDHIBITI WA TAKA NGUMU
  • Usafishaji na udhibiti wa taka ngumu kutoka kwenye majengo,maeneo ya wazi,barabara na mifereji ya maji ya mvua.
  • Kufanya tafiti/uchunguzi ili kubaini aina ya taka zinazozalishwa kutoka katika masoko,makazi,maeneo ya biashara na taasisi na kubuni njia  bora za kupunguza,kutenganisha,kuhifadhi na kutupa taka.
  • Kuweka mifumo na miundombinu isiyoathiri afya na mazingira ya usimamizi wa taka kuanzia zinapozalishwa hadi zinapotupwa kwa kuzingatia utenganishaji,ukusanyaji, uhifadhi,urejelezaji na utekelezaji katika matanuru maalum na utupaji katika madampo.
  • Kuzisimamia na kuhakikisha  kamati za  mazingira kuanzia ngazi ya kata na mitaa zinatekeleza majukumu yake kwa ufanisi.

MIKAKATI YA IDARA

Katika kuboresha hali ya usafi, utunzaji na uhifadhi wa mazingira idara ina mikakati ifuatayo :

  • SEHEMU YA MAZINGIRA
  • Kusimamia tathmini ya athari ya mazingira katika miradi mbalimbali ya uwekezaji  iliyopo Manispaa.
  • kuboresha mandhari ya mji wa singida kwa kuendeleza bustani na kuhamasisha zoezi la upandaji miti kwa wananchi na kuboresha hali ya mazingira ya maeneo ya kupumzikia.
  • kuendelea kuboresha ukaguzi wa mazingira katika maeneo ya biashara, taasisi, viwanda, majengo na vyanzo vya maji .
  • Kuweka vibao vya kuzuia matumizi ya maeneo yasiyoruhusiwa na maeneo ya hifadhi.
  •  Kuendelea kushirikisha wadau mbalimbali vikiwemo vyombo vya ulinzi na usalama katika usimamizi wa sheria.
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali katika kufanya tafiti mbalimbali zinazohusu usimamizi na utunzaji wa Mazingira
  • Kuhakikisha kamati za kuhifadhi mazingira kuanzia ngazi ya kata na mitaa zinatekeleza majukumu yake kwa ufanisi.
  • Kuendelea kuhamasisha jamii mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
  • Kuendelea Kusimamia utunzaji wa vyanzo vya maji kwa kudhibiti utekelezaji wa shughuli yoyote inayoweza kuleta athari katika maeneo ya mito, maziwa, bahari na mabwawa.
  • Kuhakikisha kampeni ya upandaji miti inatekelezwa kwa kupanda miti 1,500,000 kila mwaka.
  • Kusimamia uanzishwaji wa vikundi vya mazingira mashuleni ikiwa ni pamoja na kutoa uelewa kuhusu masuala ya hifadhi ya mazingira kwa jamii.
  • 2.)  SEHEMU YA UDHIBITI WA TAKA NGUMU
  • Kuendelea kuhimiza Kamati za Maendeleo ya Kata kushiriki ipasavyo kusimamia zoezi la usafi kila Jumamosi ya kwanza ya mwezi.
  • Kuelimisha jamii kwa kutumia vyombo vya habari, mikutano, vipeperushi na vipaza sauti.
  • Kuundwa kwa kikosi kazi cha kusimamia shughuli za usafi na biashara ndogondogo kinachojumuisha wataalam toka Idara mbalimbali na wameanza kuchukua hatua za kisheria.
  • Kuongeza idadi ya ghuba za taka kutoka 9 za sasa kufikia 12 kwa mwaka 2017/2018
  • Kuhakikisha udhibiti wa taka ngumu unaboreka kutoka asilimia 50% kufikia asilimia 75 kwa mwaka 2017/2018.

]

Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 - HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA December 23, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 December 17, 2018
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA January 24, 2019
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MKUU wa Mkoa wa Singida,Dkt Rehema Nchimbi (aliyefunga kilemba kichwani) akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa vitanda na madawati kwa uongozi wa shule ya sekondari ya New Kiomboi.

    June 21, 2020
  • DKT. REHEMA NCHIMBI, AZINDUA RASMI HUDUMA ZA CHF ILIYOBORESHWA, MKOANI SINGIDA

    April 11, 2019
  • MKOA WA SINGIDA WAANZA KUCHUKUA HATUA KATIKA KUKABILIANA NA HALI DUNI YA LISHE KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO

    November 14, 2018
  • DIWANI WA MANISPAA YA SINGIDA AFARIKI DUNIA

    May 22, 2018
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.