• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mipangomiji na Ardhi

  WASIFU WA IDARA YA MIPANGOMIJI NA ARDHI 

UTANGULIZI

Idara ya Mipangomiji inajihusisha na utoaji wa huduma kwa wananchi hususani katika utumiaji wa rasilimali ardhi, wananchi waweze kutumia Ardhi ili kusudi iwaletee maendeleo na kuwa rasilimali endelevu kwa vizazi vijavyo:

Katika kutekeleza hili Idara ina vitengo 4 ambavyo ni Mipangomiji, Uthamini, Upimaji na Usimamizi wa Ardhi kwa pamoja vinafanya kazi zifuatazo:-

Vitengo hivi vina majukumu yafuatayo:

  • Mipangomiji 
  • Kuandaa Michoro ya Mipangomiji (Detailed land use Plan) katika maeneo  yaliyoiva kimji
  • Kuandaa Mipango ya Urasimishaji katika maeneo yaliyoendelezwa kiholela

    (Reguralization scheme and squatter upgrading)

  • Kupokea na kuweka kumbukumbu za mabadiliko ya matumizi ya Ardhi  na umegaji wa viwanja(subdivision)
  • Kukagua na kuzuia uendelezaji wa Mji kiholela kwa kutoa notisi maeneo yanayoendelezwa kiholela
  • Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika Michoro
  • Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi
  • Uthamini

Uthamini ni utaalamu wa kukadiria thamani (katika mfumo wa fedha) ya mali kama vile majengo, biashara kwa madhumuni mbalimbali kama vile kwa ajili ya rehani ya mikopo, fidia, kodi ya majengo, mizania ya biashara n.k. 

  • Kufanya utafiti wa thamani ya ardhi na majengo
  • Kuandaa taarifa za uthamini na uhamisho wa milki za viwanja
  • Kuandaa taarifa za uthamini ya rehani (Mkopo)
  • Kuandaa na kusambaza hati za madai ya kodi ya ardhi
  • Ukusanyaji takwimu za bei ya soko la viwanja na mashamba
  • Kuandaa taarifa za uthamini kwa ajili ya bima
  • Upimaji na Ramani
  • Kupima viwanja
  • Kuanzisha control points (Sehemu za kuanzia upimaji) ndani ya Manispaa
  • Kuchora ramani za upimaji
  • Kuumbua viwanja vilivyopimwa
  • Kupima eneo linakotaka kujengwa (Topographic Survey) ili Mhandisi kutumia ramani hiyo
  • Usimamizi wa Ardhi
  • Kushughulikia  utayarishaji wa nyaraka kisheria
  • Kufanya ukaguzi wa viwanja
  • Kusimamia mchakato na kuhamisha milki za viwanja
  • kutoa notisi na kupendekeza ubatilishaji  wa milki kwa viwanja visivyo endelezwa kwa mujibu wa sheria.
  • Kushauri na kusuluhisha migogoro na kesi za ardhi Mahakamani.
  • Kutoa mapendekezo ya kuidhinisha rehani za viwanja kwa wanaotaka kutumia viwanja vyao kama dhamana.
  • Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika kompyuta

KAZI ZILIZOTEKELEZWA NA IDARA YA MIPANGOMIJI NA ARDHI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017.

  Michoro 10 ya Mipangomiji  yenye jumla ya viwanja 5286   vya matumizi mbalimbali imeandaliwa na kuidhinishwa na Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi  katika maeneo ya Mtipa, Mwaja ,Manga,Manguanjuki ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mchoro miwili ya Urasimishaji wa makazi holela katika eneo la Mwaja  na Munung’una umeandaliwa na kudhinishwa na Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi yenyetakribani viwanja 2,258
  • Hati milki  473 zimeandaliwa  
  • Viwanja 2741  vimepimwa katika maeneo yafuatayo Munung’una ,Unyankhae,Manguamithogo na Ititi
  • Uthamini wa mali zote za Halmashauri (Asset valuation) umefanyika Hamashauri ina jumla ya mali zenye thamani ya Tshs. 30,884,000,000/=
  • Utafiti wa bei ya soko la Ardhi katika kata zote 18 umefanyika na kuhuishwa
  • Taarifa 30 za uthamini kwa ajili ya rehani zimeandaliwa
  • Taarifa 145 za uthamini  kwa ajili ya uhamisho wa milki umefanyika
  • Taarifa 31 za uthamini wa fidia zimeandaliwa

MIRADI

Miradi inayotekelezwa kwa sasa katika Idara ya Mioangomiji na Ardhi ni:-

  • Mradi wa upimaji wa viwanja 2000 katika maeneo ya Manguamitogho, Mwaja Kitope na Unyinga.
  • Mradi wa Mpango wa Jumla (Master Plan) katika Manispaa ya Singida.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.