• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Mipangomiji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Idara ya Maji na Usafi wa Mazingira
      • Idara ya Utumishi na Utawala
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MIAKA 60 YA UHURU: SINGIDA YAJIVUNIA USALAMA WA CHAKULA

Monday 16th, May 2022
@MANYONI

      Hali ya Uzalishaji wa mazao makuu ya chakula katika mkoa wa Singida umeongezeka kutoka tani 197,886 mwaka 1990 hadi kufikia tani 821,882 mwaka 2020/2021.

     Hayo yameelezwa leo na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge wakati akiwahutubia wananchi katika kilele cha maadhimisho ya kimkoa ya miaka 60 ya uhuru yalifanyika katika uwanja wa Jumbe wilayani Manyoni mkoani Singida.

   Dr. Mahenge alisema kipindi cha miaka 60 ya uhuru Mkoa wa Singida umeweza kujitosheleza kwa chakula sambamba na ongezeko la uzalishaji wa mazao ya biashara yakiwemo  Alizeti, ufuta, dengu, korosho na vitunguu kutokana na mabadiliko katika matumizi ya teknolojia ya zana za kilimo na hasa ubora wa pembejeo za kilimo.

    “uzalishaji wa mazao ya chakula ya kipaumbele kama mtama, uwele, viazi vitamu na muhogo, uliongezeka kutoka Tani 194,878 mwaka 2005/2006 hadi kufikia Tani 395,594 mwaka 2020/2021” Amesema Dkt. Mahenge.

      Aidha amebainisha kwamba uzalishaji wa mazao ya biashara ya kipaumbele ambayo ni alizeti, pamba, vitunguu, na korosho uliongezeka kutoka Tani 41,746 mwaka 2005/2006 hadi Tani 230,793 mwaka 2020/2021.  Zao la alizeti pekee uzalishaji umeongezeka kutoka Tani 28,917 mwaka 2005/2006 hadi Tani 222,8000 mwaka 2020/2021, aliendelea kufafanua RC Mahenge.

   Akizungumzia ongezeko la viwanda katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru RC Mahenge amebainisha kwamba Mwaka 1961 hapakuwa na viwanda vya usindikaji wa alizeti lakini hadi kufikia  mwaka 2021 kuna jumla ya viwanda 204 vinavyofanya kazi.

    “Mwaka 1961 viwanda vidogo vilikuwa ni vichache na vilikuwa vya fani ya useremala, uhunzi na utengenezaji chumvi, na sasa vipo jumla ya viwanda vidogo 1,309 vinavyofanya shughuli mbalimbali hadi kufikia mwaka 2020/2021” alieleza RC Mahenge.Maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO March 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI March 07, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA KATA 2021 November 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • BASHUNGWA AAGIZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA TATU KUANDAA TARATIBU ZA UENDESHAI KITENGO CHA MAAFISA HABARI

    May 14, 2022
  • RC: SINGIDA AAGIZA TAKUKURU KUSHIRIKIANA NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KUONDOA RUSHWA ZA AINA ZOTE KATIKA HALMASHAURI NA TAASISI ZA UMMA

    May 01, 2022
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA SINGIDA WAPEWA SIKU 2 KUHAKIKISHA VIBAO VYA ANWANI ZA TAASISI VINASIMIKWA

    April 27, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MUUNGANO: RC SINGIDA APIGA MARUFUKU VIFUNGASHIO VYA VITUNGUU VISIVYOTHIBITISHWA NA SERIKALI

    April 26, 2022
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.