• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA UGENI KUTOKA SULZBURG, AUSTRIA

Thursday 2nd, February 2023
@SINGIDA


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Yagi Kiaratu, amesema uhusiano baina ya miji dada miwili ya Manispaa ya Singida na Mji wa Sulzburg, Austria una mengi ya kukumbukwa katika maendeleo ya wananchi wa Manispaa ya Singida hasa katika kumtua mama ndoo kichwani kwa kutoa fedha za kuboresha miundombinu ya Maji kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA). Ushirikiano baina ya Singida Manispaa na Mji wa Sulzburg una miaka 34 tangu kuanzishwa kwake.

Mhe. Yagi amemshukuru mwakilishi wa Meya wa Sulzburg, Bi. Martina Berthold, kwa kuonyesha nia na utayari wa kuimarisha ushirikiano huu kwa mara nyingine na kusema kuwa utayari huu ni ishara njema na kwamba utaleta tija kwa wananchi wa Manispaa zote mbili katika nyanja mbalimbali za kijamii na hata kiuchumi.

Aidha, kwa niaba ya wananchi wa Manispaa ya Singida amemshukuru Mstahiki Meya wa Manispaa ya Sulzburg, viongzozi na wananchi wote walioona umuhimu wa kuwanywesha maji safi na salama wananchi wa Singida ambao walikuwa wakikabiliwa na tatizo la maji kwa kipindi kirefu.

  BOFYA HAPA KUTAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA- KIKAO CHA MKUU WA MKOA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI January 13, 2023
  • TATHMINI YA MATOKEO DARASA LA SABA 2022 KWA KATA December 23, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • KARIBU UWEKEZE KATIKA MANISPAA YA SINGIDA November 15, 2022
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • ASILIMIA 77 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WAJIUNGA NA SHULE KATIKA MANISPAA YA SINGIDA

    January 27, 2023
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI MANISPAA YA SINGIDA LARIDHISHWA NA MASLAHI YA WATUMISHIKUPITIA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    January 25, 2023
  • MKUU WA MKOA AISHAURI MANISPAA KUANDAA MIKAKATI ITAKAYOIMARISHA USAFI WA MJI WA SINGIDA

    January 20, 2023
  • MKUU WA MKOA WA SINGIDA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA MANISPAA YA SINGIDA

    January 17, 2023
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.