• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ASILIMIA YA UFAULU DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA WAONGEZEKA

Posted on: December 1st, 2023


UFAULU wa Darasa la Saba katika Halmashauri ya Manispaa Singida kwa mwaka 2023 umepanda kwa asilimia 86.01ukilinganisha na ule wa mwaka jana ambao ulikuwa ni asilimia 85.01.

Jumla ya wanafunzi waliofanya mtihani kwa mwaka 2023 ni 6031, ambapo wanafunzi waliopata daraja A ni 287, daraja B 1670, daraja C 3233, daraja D 824 na daraja E 17. Matokeo hayo ni kwa shule za msingi za serikali 48 na shule binafsi 10 zinazofanya jumla ya shule zote za msingi kuwa 58. Wanafunzi waliopata ufaulu wa daraja A ni asilimia 4.75.

Katika matokeo hayo, Shule Msingi ya Unyankhae imeongoza katika katika shule 10 bora za msingi za serikali ikifuatiwa na shule za msingi za Tumaini Viziwi, Sumaye, Kibaoni, Utemini, Nyerere, Bomani, Ukombozi, Mahembe na Misuna.

Aidha Kata iliyoongoza kwa ufaulu katika matokeo ni Kata ya Utemini kwa ufaulu wa asilimia 95.5 kwa shule tatu zilizopo katika kata hiyo ambazo ni Utemini, Bomani na Sabasaba ambazo zote zipo katika orodha ya shule zenye ufaulu bora.

Kata zilizofuatia ni Kata ya Majengo nafasi ya (2) kwa asilimia 96.4 yenye shule moja, Kata ya Misuna nafasi (3) ufaulu wa asilimia 96.1 ikiwa na shule tatu, Kata ya Ipembe ufaulu wa 95.5% kwa shule mbili, Kata ya Mandewa ufaulu wa 95.2% kwa shule 11 na Kata ya Kindai 94.7% shule tatu.

Kata nyingine ni  Minga 93.8% kwa shule mbili , Kata ya Mughanga 93.2% shule mbili, Kata ya Unyamikumbi 83.5%  shule tatu , Kata ya Mungumaji 81.6% shule tatu , Kata ya Mtipa shule nne (80.7%).

Kata ya Uhamaka79.4% Shule tatu, Kata ya Unyianga 79.0% shule moja, Kata ya Mitunduruni 78.6%, shule tatu, Kata Kisaki 76.6% Shule tatu na Kata nne za mwisho ni Unyambwa 71.7% shule tano Kata ya Mwankonko 71.2% shule tatu na Kata ya Mtamaa 70.3% shule tatu, ikiwa ndiyo Kata ya mwisho Manispaa ya Singida.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.