• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BAJETI 2025/2026 YAGUSA JAMII NA WATUMISHI MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: January 22nd, 2025



Baraza la Madiwani la Manispaa ya Singida limepitisha bajeti ya mwaka 2025/2026 yenye thamani ya Tshs. Bilioni 45.26, bajeti ambayo inatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii na watumishi wa halmashauri hiyo.

Akihitimisha Mkutano wa Baraza la Madiwani,leo Januari 22, 2025 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, amesema kuwa bajeti hii ni hatua muhimu katika kuongeza tija na maendeleo ya Manispaa hiyo.

Meya Kiaratu alifafanua kuwa bajeti ya mwaka huu ni ongezeko la asilimia 12 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/2025, ambapo mapato ya ndani yaliongezeka kutoka Tshs. Bilioni 5.5 hadi kufikia Tshs. Bilioni 6.2.

Bajeti hii inalenga kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo, ikiwa ni pamoja na kukamilisha miradi ya maendeleo ya awali, na pia kuandaa maandiko ya miradi mikubwa ya kimkakati ambayo itachochea maendeleo endelevu katika Manispaa hiyo.

Pamoja na miradi ya maendeleo, Mstahiki Meya alisisitiza kuwa bajeti hii itatoa fursa kwa wananchi kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani, ambayo itatumika kusaidia vikundi vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Hii ni katika kuhakikisha kuwa jamii ina fursa sawa za kiuchumi na kijamii.

Aidha, Mhe. Kiaratu aliwahimiza madiwani na watendaji wa Manispaa hiyo kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mifumo ya manunuzi na taratibu za kupata fursa za kibiashara na miradi mbalimbali, ili waweze kuzitumia ipasavyo pindi zinapojitokeza.

Meya Kiaratu pia amewasisitiza wataalamu na viongozi wa halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa ukusanyaji wa mapato kupitia tozo, kodi, na ushuru mbalimbali unafanywa kwa ufanisi ili kufanikisha utekelezaji wa bajeti hii. Alisisitiza kuwa kila chanzo cha mapato kitahitaji kuhakikisha kinakusanya ipasavyo.

Katika hatua nyingine, Mhe. Kiaratu alitoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika mikutano ya maendeleo katika maeneo yao. Alisema kuwa ushiriki huo utasaidia wananchi kupata taarifa muhimu za miradi ya maendeleo na pia kutoa maoni kuhusu namna bora ya kufikia malengo ya maendeleo katika Ma

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.