• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BARAZA LA WAFANYAKAZI MANISPAA YA SINGIDA LARIDHISHWA NA MASLAHI YA WATUMISHIKUPITIA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Posted on: January 25th, 2023

Baraza la Wafanyakazi la Manispaa ya Singida, limeridhishwa na uandaaji mzima wa Mpango na Bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024, iliyozingatia maslahi ya Watumishi wa Halmashauri hiyo.

Katika Kikao cha Baraza hilo lililokutana Januari 24, 2023, kwenye ukumbi wa Manispaa ya Singida, lilijumuisha Wajumbe 45, wakiwemo viongozi wa vyama vya Wafanyakazi ngazi ya Mkoa na Wilaya.

Wengine walioshiriki katika Baraza hilo ni, wawakilishi wa vyama kutoka sekta mbalimbali na wakuu wa idara na vitengo, ambao kwa pamoja waliwasilisha Bajeti zao, kwa ajili ya mwaka ujao wa fedha, 2023/2024.

Akiongea kwa niaba ya viongozi wa vyama hivyo, Kaimu Katibu wa Chama cha Walimu Mkoa, Mwl. Jones Madale, amesema Bajeti hiyo imeandaliwa kwa umakini, huku ikimjali Mtumishi ili atekeleze vyema majukumu yake.

“ Lazima tuwe wa wazi, Bajeti hii imemjali sana mtumishi, ukilinganisha na zile Bajeti zilizopita…..tunataka umakini kama huu wa mapendekezo ya Bajeti, hongereni sana kwa kazi nzuri,” amesema Madale.

Aidha Madale amepongeza uongozi mpya ulioleta mabadiliko chanya ya kiutendaji, hadi kufikia hatua ya kuimarisha uhusiano imara kati ya vyama vya Wafanyakazi, Watumishi na Uongozi wa Manispaa ya Singida.

“ Naamini uhusiano huu ninaouona sasa, hakika kuna uwezekano mkubwa sana wa kupunguza kero zenu mbalimbali zinazowakabili ninyi Watumishi,” alisema Madale.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza hilo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Kulanga Matia Kanyanga, amewashukuru wajumbe kwa mawazo mazuri ya kuijenga Manispaa na kueleza kuwa, Manispaa ya Singida inatarajia kuwasilisha  rasimu ya motisha mbele ya Baraza hilo, kwa ajili ya kuridhia tayari kwa utekelezaji wa sera ya motisha.

Matangazo

  • MAPITIO YA BAJETI 2022/2023 February 21, 2023
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • KARIBU UWEKEZE KATIKA MANISPAA YA SINGIDA November 15, 2022
  • TATHMINI YA MATOKEO YA MITIHANI YA DARASA LA SABA 2022 KI- SHULE December 23, 2022
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KAYA 5,396 MANISPAA YA SINGIDA ZIMENUFAIKA NA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF) DIRISHA LA SEPTEMBA - OKTOBA, 2023

    March 22, 2023
  • BOT YATOA ELIMU YA FEDHA BANDIA KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KIMATAIFA LA VITUNGUU, MISUNA MANISPAA YA SINGIDA

    March 20, 2023
  • TUME YA UTUMISHI YA WALIMU SINGIDA YAWATAKA WALIMU KUZINGATIA SHERIA,KANUNI NA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA SERIKALI

    March 20, 2023
  • MIAKA MIWILI YA DHAHABU YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN YALETA MAPINDUZI YA MAENDELEO SINGIDA

    March 18, 2023
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.