• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Mipangomiji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu
      • Idara ya Maji na Usafi wa Mazingira
      • Idara ya Utumishi na Utawala
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BASHUNGWA AAGIZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA TATU KUANDAA TARATIBU ZA UENDESHAI KITENGO CHA MAAFISA HABARI

Posted on: May 14th, 2022

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza makatibu wakuu wa wizara tatu za Habari, mawasiliano na teknolojia ya habari, Utumishi na TAMISEMI kuhakikisha wanakaa pamoja na kuweka utaratibu wa Ikama kwa maafisa Habari na suala zima la upatikanaji wa vitendea kazi kwa maafisa habari na Uhusiano wa serikali.


Waziri Bashungwa ameagiza hayo Leo tarehe 14.05.2022 wakati akifunga kikao kazi Cha Maafisa habari kilichofanyika jijini Tanga kwa kipindi Cha wiki moja.


Waziri Bashungwa amesema maafisa habari ni jeshi linalotegemewa na serikali katika kuhabarisha umma juu ya shughuli mbalimbali zinazotekeleza na serikali lakini pia kuihabarisha serikali hitaji ama changamoto za wananchi.


Aidha amewataka maafisa habari kutumia vyema mbinu walizofunzwa katika kikao kazi hiki kuhakikisha wanaleta matokeo chanya katika taasisi zao na Serikali kwa ujumla.


"Tunamshukuru Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha kitengo hiki muhimu kwa maeneeleo ya nchi yetu" alisema Bashungwa.


Pamoja na hayo waziri Bashungwa amewasisitiza Maafisa habari kuendelea kuelimisha wananchi kuhusiana na usajili wa wa anwani za makazi ili kuhakikisha maeneo yote yanaingizwa kwenye mfumo wa anwani za makazi.


Amesema zoezi la anwani za makazi likiwa linaendelea kukamilishwa, maafisa habari wajipange vyema katika kuelimisha wananchi juu ya zoezi la sensa ya watu na makazi zoezi litakalofanyika hapo 23 Agosti, 2022.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali wakati akifunga Kikao cha 17 cha Maafisa hao Jijini Tanga leo tarehe 13 Mei 2022


Naye Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima ambaye ni mwenyeji wa kikao kazi hiki amewaasa Maafisa habari kufanya kazi kwa weledi ili wananchi wawe na ufahamu mpana wa jitihada zinazofanywa na Serikali za kuleta maendeleo kwa wananchi wake.


Mkuu wa mkoa huyo kwa niaba ya wakuu wa mikoa wote amemwomba waziri Bashungwa kuhakikisha maafisa habari wanawezeshwa vitendea kazi ili kazi yao iwe na tija.


"Mhe. Waziri maafisa hawa ambao ni jeshi tegemewa hawana vitendea kazi pia platform, naomba ofisi yako iwawezeshe" alisema Malima.


Maafisa habari zaidi ya 350 wameshiri Kikao kazi ambapo mada mbalimbali zilitolewa ili kuwajengea uwezo wa kutekele

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima akizungumzia umuhimu wa maafisa  wakati wa ufungaji wa wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali kinachofanyakia Jijini Tanga leo tarehe 13 Mei 2022

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO March 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI March 07, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA KATA 2021 November 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • BASHUNGWA AAGIZA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA TATU KUANDAA TARATIBU ZA UENDESHAI KITENGO CHA MAAFISA HABARI

    May 14, 2022
  • RC: SINGIDA AAGIZA TAKUKURU KUSHIRIKIANA NA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KUONDOA RUSHWA ZA AINA ZOTE KATIKA HALMASHAURI NA TAASISI ZA UMMA

    May 01, 2022
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA SINGIDA WAPEWA SIKU 2 KUHAKIKISHA VIBAO VYA ANWANI ZA TAASISI VINASIMIKWA

    April 27, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MUUNGANO: RC SINGIDA APIGA MARUFUKU VIFUNGASHIO VYA VITUNGUU VISIVYOTHIBITISHWA NA SERIKALI

    April 26, 2022
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.