• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DAWATI LA JINSIA LIFIKE MPAKA VIJIJINI

Posted on: March 6th, 2023

Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Mwanamwema wameshauri serikali kupeleka huduma ya dawati la jinsia maeneo ya vijijini ambako wahanga wa unyayasaji wa kijinsia wanapatikana kwa wingi.

Wanafunzi hao wametoa pendekezo hilo leo tarehe 06/03/2023 katika mdahalo uliohusu binti wa kitanzania katika ulimwengu wa kidigitali, ulioendeshwa na Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Mwl. Dorothy Mwaluko ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mdahalo huo.

Wanafunzi hao wameeleza kuwa kuna kila sababu ya kupeleka huduma ya dawati la jinsia mpaka vijijini ili kuwasaidia wanawake na mabinti ambao ndiyo wahanga wakubwa wa unyanyasaji pamoja na udhalilishwaji kijinsia kutokana na mila na desturi za ukandamizaji.

Mabinti hao wa kidato cha kwanza mpaka cha sita, katika Shule ya Mwanamwema Shein, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Singida wametaja mila kandamizi kwa wanawake zinazopaswa kuachwa ni pamoja na, kukosekana kwa uhuru wa maoni  na maamuzi kwa wanawake na mabinti, suala la mahari linaloondoa utu wa mwanamke na hasa mtoto wa kike, mwanamke kuchukuliwa kama chombo cha starehe na wanawake kunyimwa haki ya urithi.

Katibu Tawala Mkoa, Mwaluluko, amewaasa mabinti hao kuwa chachu ya mabadiliko katika jamii, na kuwataka kuwa na ujasiri utakaowawezesha kujisimamia ili kuiwezesha jamii kuondokana na dhana iliyojengeka kuwa mwanamke ni dhaifu.

Mwaluko pia alitumia fursa hiyo kuwaasa mabinti hao kutojihusisha na masuala ya mapenzi wakiwa shuleni huku akiwataka kuepuka vishawishi mbalimbali kama lift wakati wa kwenda shule na zawadi kutoka kwa vijana na watu wenye tamaa.

Martha Gwau, Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida ni miongoni mwa viongozi waliofika shuleni hapo kusikiliza mdahalo huo ambao ulihamashisha wazazi na viongozi mbalimbali.

Mbunge huyo aliamsha msisimko kwa mabinti baada ya kutoa ushuhuda ulio hai wa safari ya maisha yake hata kufikia hapo alipo sasa, na kuongeza kuwa mafanikio aliyofikia ni kutokana na kujithamini na kujituma na hata  kufikia malengo yake.

Gwau pamoja na kuongea na wanafunzi alipata pia  nafasi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi hao. Wengine waliopeleka zawadi kwa wanafunzi ni Chama cha Walimu Tanzania Mkoa wa Singida wakiongozwa na Bi. Digna Nyaki , Katibu wa CWT Mkoa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.