• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

GEOFREY MDAMA:NAIBU MEYA MPYA MANISPAA YA SINGIDA 2023/2024

Posted on: August 14th, 2023

BARAZA la Madiwani katika Manispa ya Singida, limemchagua diwani wa Kata ya Unyianga, Geofrey Mdama, kuwa Naibu Meya mpya wa halmashauri hiyo, kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024, akichukua nafasi ya diwani wa Kata ya Mungumaji, Hassan Mkata.

Mdama, aliyekuwa mgombea pekee, ameshinda kwa kura zote za ndiyo, kutoka kwa madiwani 24 wa halmashauri ya manispaa ya Singida, hivyo kupata ridhaa ya kuongoza nafasi nafasi yake, kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Nafasi hiyo awali ilikuwa inaongozwa na diwani wa Kata ya Mungumaji, Hassan Mkata, tangu mwaka 2020, kabla ya kumaliza muda wake na kumpisha naibu meya huyo mpya, ambaye ni diwani wa Kaya ya Unyianga, Mdama.

“Kipekee nikushukuru sana Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti na Katibu, waheshimiwa madiwani wote, wakuu wa vitengo na divisheni, ahsanteni sana, naahidi kuwatumikia,”amesema Mdama.

Naibu meya huyo ameahidi kuwatumikia kwa haki bila ya ubaguzi madiwani na wananchi, kwa kushirikiana na serikali na wadau mbalimbali, ameahidi kuipaisha Manispaa katika maendeleo yaliyokusudiwa, kulingana na mipango iliyoandaliwa.

Awali Mwenyekiti wa uchaguzi huo, ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulidi Kiaratu, alimpongeza Naibu Meya mpya, kwa kushinda nafasi hiyo, na kumtakia kila la heri katika majukumu yake mapya ya kuwatumikia wananchi.

Aidha Mstahiki Meya, alitumia nafasi hiyo kumshukuru aliyekuwa naibu Meya (Mkata), kwa utumishi wake uliotukuka  kwa kipindi chote cha uongozi wake, aliodai alimsadia sana Mstahiki Meya katika kutekeleza kazi za kila siku.

“Ulipokuwa msaidizi wangu, ulitumia nafasi yako vizuri na kwa kweli ulinisaidia sana, ahsante sana kwa busara zako, naomba uendelee kumsaidia Naibu Meya mpya, pale atakapohitaji msaada wako,”alisema Mstahiki Meya.

Baraza hilo liliofanyika jana kwenye ukumbi wa sekondari ya Mwenge, pia lilichagua wajumbe wa kamati mbalimbali kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024, ikiwemo kamati ya fedha, huduma za jamii, Ukimwi, maadili na ile ya mipango miji na mazingira.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.