• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI ZA MKOA WA SINGIDA ZA PONGEZWA KWA KUVUKA MALENGO YA UKUSANYANJI MAPATO 2023/2024

Posted on: July 31st, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego amezipongeza Halmashauri za mkoa huo kwa kufanya vizuri katika eneo la ukusanyaji mapato na kuvuka lengo lililowekwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Mkuu wa Mkoa ametoa pongezi hizo Julai 30, 2024 wakati akifungua kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) ambapo alisema malengo hayo yamefikiwa kutokana na mipango na mikakati madhubuti ikiwemo uanzishaji wa vyanzo vipya vya mapato na ushirikiano mzuri kati ya Watendaji na Viongozi wao.

“Nawapongeza kwa hatua hizi mlizochukua kwa kuvuka malengo katika ukusanyaji wa mapato ongezeni bidii zaidi katika ukusanyaji, Amesisitiza Dendego.

Pamoja na pongezi hizo Mhe. Dendego ameishukuru Serikali Kuu kwa kuupatia mkoa wa Singida Tshs. Bilioni 241 sawa na asilimia 105 hadi kufikia Juni mwaka huu kwa ajili ya shughuli za utawala na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja rekodi ya kuupatia mkoa wa Singida fedha nyingi za miradi ya maendeleo ikilinganishwa na miaka mingine ambapo katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 mkoa iliidhinishiwa zaidi ya Bilioni 230 lakini umepewa fedha zaidi ya bilioni 241 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umwagiliaji katika mkoa wa Singida, Mkuu wa MKoa amesema, miradi hiyo inaendelea vizuri ukiwemo mradi wa skimu ya umwagiliaji ya Mkalama na Msange katika Halmashauri ya wilaya ya Singida kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 55.

Amesema Serikali inaendelea kukarabati na kujenga miradi mipya ya umwagiliaji ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara.

Kikao cha Kamati ya Ushauri cha Mkoa (RCC) kililenga Ukusanyaji Maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.