• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JAMII YAHIMIZWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WENYE ULEMAVU ILI WAPATE ELIMU

Posted on: February 20th, 2023

Jamii imeaswa kuacha tabia ya kuficha watoto walemavu majumbani na badala yake wawapeleke  shuleni na katika vituo maalum ili waweze kuapata elimu pamoja na kuchangamana na wezao hali itakayowezesha kukuza uelewa wao.

Hayo yameelezwa na Mwalimu Mkuu wa Shule maalumu ya wenye ulemavu wa kusikia ( Viziwi), Francis Edward, ambaye amesisitiza kuwa  ni wakati sasa wa jamii kuelewa umuhimu wa elimu kwa wenye ulemavu kama ilivyo kwa watoto wasio na ulemavu kwani  walemavu wakipewa elimu nao wanaweza kama watoto wengine.

Akitoa takwimu za uandikishaji shuleni hapo, Mwalimu Mkuu huyo amesema, shule ya Msingi Tumaini viziwi ,  imevuka lengo mwaka huu 2023 kwa kuandikisha wanafunzi kumi wenye ulemavu wa kusikia, ikilinganishwa na watano waliosajiliwa mwaka jana (2022).

Mwalimu Edward, amesema kuwa, ongezeka hilo limeushawishi uongozi wa shule ya Tumaini viziwi, kuongeza zaidi muda wa usajili wa wanafunzi wapya, hadi Machi 31, mwaka huu, ndipo wakati dirisha litakapofungwa.

Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya walimu wa shule hiyo, wamesema  mbinu shirikishi ya  kujifunza na kufundishia ya “K” tatu, yaani Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK), imekuwa na mafanikio, ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

“Wanafunzi wanaweza kusoma kwa urahisi kuhesabu na kuandika kwa kuwa mbinu hii ni shirikishi zaidi, amesema  Mwalimu Lucy Masawe anayefundisha darasa la awali, ambaye amejivunia baadhi ya wanafunzi wake kutamka maneno jambo ambalo halikuwezekana hapo awali.

Nao wanafunzi wa shule hiyo, wakiwakilishwa na wenzao, Hadija Habibu na Samwel Matonya, wameishukuru serikali kwa kutoa elimu maalumu bure, na kumwomba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuongeza walimu watakaotosheleza mahitaji yao.

Shule ya Msingi Tumaini Viziwi, ni shule ya wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia  pekee katika  Manispaa ya Singida, inayimilikiwa na serikali, huku ikiwa na jumla ya idadi ya wanafunzi 92, wakiwemo wasichana 37 na wavulana 55, wenye ulemavu wa kusikia, wakiwemo pia wenye ulemavu zaidi ya moja.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.