• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JUMANNE SUFEI: UFANISI WA MAJUKUMU, KUJITUMA NA UZALENDO NDIYO MSINGI WA MAFANIKIO YAKE KAZINI

Posted on: February 23rd, 2023

Uzalendo,kujituma ufanisi wa majukumbu ni sifa ambazo zimetawala jina la mtumishi , Jumanne Sufei, Mtunza kumbukumbu msaidizi, katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida ambaye ameibuka kuwa mtumishi hodari kwa mwezi January, 2023.

Huu ni  mwendelezo wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wa  kuwamotisha watumishi wake kila mwezi ambao wanafanya vizuri zaidi ya wengine ( extra ordinary) na hivyo kuleta tija kwa Manispaa.

Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala, Kulanga Matia Kanyanga, alimtangaza mtumishi huyo kuwa mshindi kati ya watumishi watatu walioshindanishwa kutoka sekta mbalimbali na Sufei kuibuka mshindi.

Akimkabidhi cheti na Picha , Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Dr. Adrian Kalekezi amesema utii na nidhamu ya kazi aliyonayo mtumishi huyo alistahili tuzo hiyo na kuwataka watumishi wengine kuiga mfano wake.

“ nyie wenyewe ni mashahidi, jina la Sufei lilipotangazwa kila mtu ameshangilia kwa furaha…. Ni kutokana na kujituma na nidhamu ya kazi aliyonayo” amesema Kalekezi.

Akitoa shukrani zake kwa Mkurugenzi na timu ya menejimenti, Sufei, amesema msingi wa mafanikio yake ni nidhamu katika kazi, uzalendo, na ufanisi wa majukumu anayotekeleza.

Aidha amewaasa watumishi wote kufanya kazi kwa kushirikiana kama mchwa ili kufikia malengo ya taasisi ya kutoa huduma kwa wananchi, na kulitanganza vyema jina la Manispaa.

“ …pamoja na shukrani zangu …tuzingatie nidhamu katika kazi, juhudi binafsi na kufanya kazi kwa ushirikiano kama mchwa ili tujenge kichuguu imara…..”, ameasa Sufei

Nae Msimamizi wa ofisi (OS), Bi. Veronica Kikwesha amesema, tuzo hiyo ni kiashiria cha umuhimu wa ofisi ya masijala inayotunza kumbukumbu za halmashauri.

Amesema nidhamu katika kazi ni msingi mkubwa kwa watunza kumbukumbu kwani kinyume cha hapo shughuli mbalimbali za taasisi zinaweza kusimama.

Akiongea kwa niaba ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi, Kaimu Katibu wa TALGWU Mkoa, Bi Juliana Muyenjwa , amepongeza Manispaa kwa kuwamotisha watumishi, na kwamba amekuwa balozi mzuri wa kuhamasisha halmashauri zingine ziige mfano wa manispaa.

Amesema TALGWU inaunga mkono zoezi hilo na kwamba watumishi wote ambao wapata tuzo za watumishi hodari wa mwezi na  ambao ni wanachama wa TALWGU, chama kitawashika mkono wa pongezi.

Akitoa neno kwa niaba ya timu ya menejimenti, Mkuu wa Kitengo cha Maliasili, Jacob Chibuga, amesema, utaratibu huu wa motisha kwa watumishi, unatoa nafasi kwa watumishi kujipima na kujua wapi waongeze bidii, na kuwataka watumishi kuiga mfano wa mtumishi huyo hodari wa mwezi, ambaye anajali kazi  na kutumia muda wa ziada kukamilisha majukumu yake.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.