• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Kamanda jeshi la polisi mkoa wa Singida,ACP,Magiligimba,katika picha.

Posted on: August 27th, 2017

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida,ACP Debora Magiligimba,akionyesha bunduki aina ya rifle iliyokuwa ikimilikiwa na  Hamisi Athumani (32) mkazi wa Shiponga-Hanang mkoa wa Manyara,anayedaiwa kuitumia kwenye matukio ya ujambazi.Jambazi hilo baada ya kuionyesha bunduki hiyo aliyokuwa ameificha chini ya jiwe kuwa,ajaribu kutoroka,lakini alipigwa na polisi risasi ya kiuno na kufariki dunia wakati akikilimbizwa hospitalli.

CHAMA Cha Waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania (CHAMWITA) Mkoa wa Singida kimewataka waimbaji wa nyimbo za injili,Mkoani Singida kuhakikisha wanasajili nyimbo zao ili waweze kupatiwa hati miliki ya nyimbo hizo kwa lengo la kulinda haki zae za msingi.

Katibu wa CHAMWITA Mkoa wa Singida,Peter James alitoa ushauri huo mjini Manyoni kwenye ufunguzi wa tamasha la siku tatu la nyimbo za injili linalofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kati,Jimbo la Kusini Usharika wa Manyoni,mjini Manyoni.

Aidha Katibu huyo alisisitiza pia kwamba waimbaji hao wanapokuwa wakiimba lakini kazi zao wamekuwa wakiibiwa pasipo wao kufahamu.

Kwa mujibu wa James hivi sasa kumekuwa na idadi kubwa ya watu mitaani wenye vijiwe ambavyo wamekuwa wakivitumia kuuza mali za watu wengine kwa kufanya biashara na kujipatia vipato pasipokuwa na waimbaji husika wa nyimbo zao.

“Kwa hiyo tumekuja kumwelimisha kwamba anapokuwa amejisajili na nyimbo zake kupata hati miliki,zinakuwepo kwenye ulinzi na haziwezi kuibiwa lakini pia tunahitaji kupaza sauti ili serikali isikie na iweze kutoa ushirikiano kwa waimbaji wa nyimbo za injili ili wasiibiwe kazi zao”alifafanua James.

Kwa upande wake Muhasibu wa CHAMWITA,Aroni Luther alisisitiza juu ya umuhimu wa waimbaji kupendana na kuwa kitu kimoja.

“Tangu tulipoanza mwaka jana tulipofungua na Mkuu wa Mkoa tumeanza moja kwa moja kukisambaza na watu wajue wakae kwa umoja maana waimbaji hawakai kwa umoja, waimbaji kwanza hawapendani,waimbaji wanaoneana wivu sasa hilo katika Chama cha muziki wa injili Tanzania (Chamwita) tunakikomesha leo katika wilaya ya Manyoni” alisisitiza Muhasibu huyo wa chama.

Tamasha hilo linatarajiwa kufungwa kesho(leo) jumapili na Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki,Danieli Mtuka.

MWISHO.

MAELEZO YA PICHA:

PICHA Na.0107 Ni waimbaji wa nyimbo za Injili wa kikundi cha kwaya cha Majengo mjini Manyoni wakiwatumbiza waumini waliohudhuria ufunguzi wa tamasha hilo la siku tatu linalofanyika katika ukumbi wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT) Dayosisi ya kati,Jimbo la Kusini,Usharika wa Manyoni.(Picha Na Jumbe Ismailly) 

Attachments area

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.