• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA MANISPAA YA SINGIDA IMEHIMIZA USIMAMIZI MADHUBUTI WA MIRADI YA MAENDELEO KUEPUSHA UDANGANYIFU

Posted on: February 23rd, 2023

Kamati ya Fedha na Utawala Manispaa ya Singida, imehimiza suala la usimamizi madhubuti wa miradi ya maendeleo ili kuepusha udanganyifu unaweza kufanywa na mafundi na hivyo kufanya miradi kutekelezwa chini ya kiwango.

Wajumbe wa kamati hiyo, wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, ambaye ni mwenyekiti wa Kamati hiyo, leo tarehe 23 Februari, 2023, imefanya ziara katika miradi mbalimbali ya maendeleo na kusisitiza kufanyika kwa ziara za usimamizi mara kwa mara ili kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa kiwango kwa kuzingatia thamani ya fedha.

Aidha, Mstahiki Meya amewaasa wananchi wa kijiji cha Manga waliokuwepo eneo la shule, kujitokeza na kuchangia shughuli za maendeleo ili kuwezesha miradi iliyoanzishwa kwa nguvu za wananchi kukamilika kwa wakati hasa mradi wa ujenzi wa vyumba 04 vya madarasa ambavyo tayari vimepauliwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Manispaa.

“… tushirikiane kukuchangia ukamilishaji wa madarasa haya ili mwakani wanafunzi wapate vyumba vya kusomea… msikubali kudanganywa na watu wanaotaka msichange…miradi itakwama na nguvu zitakuwa zimepotea bure”, ameasa Mstahiki Meya.

Shule ya sekondari Maharu, ni shule mpya iliyoanza kujengwa kwa nguvu za wananchi, imefunguliwa January , 2023 ikiwa na walimu 06 na wanafunzi 166. Uwepo wa shule hii umesaidia kupunguza umbali wa kutembea kwa wanafunzi wanaotoka kijiji cha Manga na Nyunjwi na hivyo kupunguza utoro shuleni kwa kiasi  kikubwa.

Kamati hiyo pia imeweza kutembelea miradi mingine (03) ikijumuisha Mradi wa Ujenzi wa kituo kipya cha afya cha Kata ya Mtipa kinachojengwa kwa mapato ya ndani ya Halmashauri, Kituo cha Afya cha Kata ya unywambwa kinachojengwa kwa fedha za serikali kuu pamoja na mradi wa ujenzi wa jengo la utawala la Manispaa ya Singida, eneo la Karakana Kata ya Misuna. Miradi hii 03 ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.