• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA FEDHA YA MANISPAA YA SINGIDA YAFANYA ZIARA KUONA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

Posted on: December 30th, 2022

HALMASHAURI ya Manispaa ya Singida, inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa fedha zitokanazo na mapato ya ndani Pamoja na fedha zinazotolewa na serikali kuu.

Kamati ya Fedha ya Manispaa ya Singida, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa, na wataalamu wa Manispaa wamefanya ziara katika miradi hiyo kwa lengo la kujiridhisha na maendeleo ya utekelezaji wa miradi.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe, ameeleza kuwa miradi hiyo ni mafanikio makubwa ambayo Manispaa inajivunia kutumia fedha za mapato ya ndani kufanikisha utekelezaji wa miradi pia ametoa shukrani kwa Mh Rais Dkt. Samia  Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu

Kaimu Mkurugenzi huyo, amesema  miradi hiyo ipo hatua za awali za utekelezaji, miradi hiyo ni ujenzi wa kituo cha afya Mtipa kilichopo kata ya Mtipa fedha zilizotengwa kwa ajili ya utekelezaji ni shilingi million 150 na mradi wa ujenzi wa manjichio katika eneo la Ng’aida kata ya kisaki umetengewa shilingi 120.

“ujenzi wa miradi hii ambayo ni mafanikio  yatokanayo na fedha za mapato ya ndani ni hatua kubwa sana kwa Manispaa na miradi hiyo itaenda kuwa na manufaa makubwa kwa wananchi baada ya ukamilishaji”

Naibu Meya wa Manispaa ya Singida Hassan Mkata ambaye pia ni Kaimu Mwenyekiti wa kamati fedha, amempongeza Kaimu Mkurugenzi pamoja na wataalamu wake kwa kazi nzuri wanayofanya katika kuhakikisha miradi inatekelezwa.

“ushirikiano ni jambo zuri hasa katika kutekeleza kazi za maendeleo naomba tufanye kazi kwa ufanisi mzuri ili tuweze kupata mafanikio makubwa kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu”

 Kamati hiyo pia ilifanikiwa  kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Mwaja kilichopo kata ya Mandewa uliopo hatua za mwisho za utekelezaji, unaotekelezwa kupitia fedha zilizotolewa na serikali kuu Pamoja na mradi wa ujenzi wa Vyumba Vya madarasa katika shule ya sekondari Mungumaji iliyopo kata ya Mungumaji uliokamilika.

Kaimu Mwenyekiti wa kamati fedha Mh. Hassani Mkata akisisitiza jambo kweye mradi wa Machinjio uliopo Ng’aida kata ya Kisaki.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singiga Jeshi Lupembe akitoa maelekezo kweye mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya uliopo kata ya Mtipa.


Kaimu Mwenyekiti wa kamati fedha Mh. Hassani Mkata akijiridhidha uimara wa moja ya milango kweye mradi wa kituo cha Afya uliopo kata ya Mtipa.


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.