• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA USALAMA YARIDHISHWA NA HATUA MBALIMBALI ZA UKAMILISHAJI WA MIRADI

Posted on: January 14th, 2025

Wajumbe wa kamati ya Usalama ya wilaya wameridhishwa na hatua mbalimbali za ukamilishaji wa miradi ya maendeleo na kusisitiza usimamizi wa karibu ili kuhakikisha ukamilishaji huo unafanyika katika viwango vyenye ubora.

Kamati hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wake, Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, imefanya ziara kwenye baadhi ya miradi leo tarehe 14 Januari, 2025 na kujionea miradi hiyo ikiwa katika hatua mbalimbali za mwisho za ukamilishaji.

Mkuu wa Wilaya, amesema miradi yote waliyoitembelea inaendelea vizuri na kutoa pongezi kwa hatua nzuri iliyofikia. Hata hivyo ametoa angalizo la muda  hususan kwenye mradi wa jengo jipya la utawala na kusisitiza kuongezwa  kasi ili kuendana na muda wa ukamilishaji uliobaki.

“ miradi iko katika hatua nzuri za ukamilishaji pongezi sana ….. nashauri    speed iongezwe kwenye jingo la utawala iendane na muda tuko nyuma ya wakati..” ameshauri Mkuu wa Wilaya.

Aidha wajumbe wamepongeza usimamizi shrikishi katika ujenzi wa shule mpya mbili za Mwaja na Minga na kusema miradi hiyo inatekelezwa kwa kiwango chenye ubora wa juu.

Pamoja na pongezi, Mkuu wa wilaya Gondwe ametoa maelekezo kwa shule zote za msingi na sekondari kuhakikisha inapanda miti ( minyaa) kuzunguka eneo la shule ili kuepusha wananchi kuvamia maeneo hayo ambayo athari zakeza baadae  ni kuibuka kwa migogoro ya Ardhi.

“….natoa maelekezo kwa shule zote za msingi na sekondari kupanda minyaa ili kulinda mipaka ya maeneo ya shule kuepusha uvamizi hadi hapo tutatakapoweza kujenga uzio wa matofali”, ameagiza Mkuu huyo.

Pamoja na suala la kulinda mipaka ameziagiza pia shule zote na hasa zenye miradi ya mabweni kuhakikisha inaweka mfumo wa uvunaji maji ya mvua kwa ajili ya matumi ya wanafunzi wakati wote.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.