• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KARIBU MWENGE WA UHURU MKOA WA SINGIDA

Posted on: July 4th, 2024

Mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Singida mwaka 2024 unatarajiwa kupitia miradi 47 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 100.121  ambapo utakimbizwa katika wilaya tano za mkoani hapa pamoja na Halmashauri zote 7 utapokelewa kesho Julai 5, 2024 na  utakabidhiwa Julai,12 kwa mkoa wa Manyara.


Hayo ameyasema leo Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari Ofisini kwake juu ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambapo utapokelewa shule ya Msingi Chikuyu katika kijiji cha Kikuyu kilichopo Wilaya ya Manyoni saa kumi na mbili asubuhi akitanabaisha kuwa maandalizi yamekamilika na kuwaomba wananchi kujitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru.


"Maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mkoani Singida yamekamilika,niwaombe wananchi wajitokeze kwa wingi kuupokea," Dendego 


Mwenge utakimbizwa wilaya zote 5 halmashauri 7 utakabidhiwa Mkoa wa Manyara 12 Julai 2024 wakati huo kwa Mkoa wa Singida utakimbizwa umbali wa kilomita 800.75.


Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka huu ni  " Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa Ujenzi wa Taifa ".


" Niwaombe Wanasingida tushirikiane kwa pamoja kuona mbio hizi za aina yake na umuhimu wake," Dendego.


Aidha Halima Dendego amesema ya kuwa miradi hiyo itagharimu kiasi cha bilioni 100.121 huku wananchi wa Singida wametoa mchango milioni 287.442 Halmashauri Milioni 677.837 Serikali kuu Bilioni 30.582 Wahisani bilioni 68.259.


Wananchi wa Singida wamejitokeza kuchangia milioni 313 kwa ajili ya shughuli za Mwenge wa Uhuru katika vifaa na maandalizi kwa ujumla ya Mwenge huo.


Mheshimiwa Halima Dendego ameishukuru serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuboresha Shughuli mbalimbali za maendeleo, huku akimsifu kwa kutumia vyema Diplomasia kupelekea wawekezaji na wahisani kujitokeza na kuwekeza nchini Tanzania.


Aidha katika kutunza mazingira amesema kuwa Singida ina kila sababu ya kuweka mazingira safi na salama katika mipango yao wanaendelea kupanda miti na mwaka huu wamepanda miti milioni 9.75 pia wameweka mikakati ya kuitambua miti ya asili.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.