• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KULANGA: MTUMIENI VYEMA MKURUGENZI JESHI LUPEMBE

Posted on: October 2nd, 2023

Wakuu wa Idara na Vitengo wameaswa kumtumia vyema Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Godfrey Lupembe ili waweze kufikia malengo yao ya kiutendaji kwa wepesi.

Kulanga Matia Kanyanga, aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali watu na Utawala Manispaa ya Singida, ametoa nasaha hizo katika kikao cha maenejimenti ambapo alitumia fursa hiyo kuagana na wakuu wa Idara na Vitengo baada ya kupata Uhamisho kwenda Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga.

Akitoa neno la shukrani   kwa Mkurugenzi wa wakuu wa Idara na Vitengo Kulanga amesema, Mkurugenzi  Jeshi Lupembe, ni mtu wa kipekee ambaye anaongoza kwa uwazi bila kuonea mtu aibu hivyo kuwataka wakuu hao kuhakikisha wanamtumia vyema kwa kupata ushauri na kusimamia vyema maelekezo yanayotolewa.

Aidha amewataka viongozi hao, kumpa ushirikiano Mkurugenzi lakini pia kuendelea kufanya kazi kama timu, ili kufikia malengo makubwa ya Manispaa.

Akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wakuu wa Idara na Vitengo, Dr. Adrianus Kalekezi, Mkuu wa Idara ya Kilimo na Mifugo, amesema Kulanga atakumbukwa kwa kazi nzuri ya kuwaunganisha watumishi , kupandisha madaraja pia kuboresha hali za watumishi.

Alimtaka Kulanga kupeleka mazuri ya Manispaa ya Singida huko aendako ili kuendelea kuitangaza Manispaa Singida.

Kulanga pia alipata fursa ya kuangana na wajumbe wa Kamati ya Fedha na Utawala ambapo aliwapongeza wajumbe wa kamati hiyo kwa umakini katika kuhakikisha Manispaa inatekeleza vyema majukumu yake.

“..nitoe rai kwa waheshimiwa madiwani pamoja na wakuu wa idara na vitengo kuendelea kushirikiana kwa maendeleo ya Manispaa ya Singida”, amesema Kulanga

Mstahiki Meya wa Manispaa Yagi Maulid Kiaratu, amesema Kulanga ni miongoni mwa Wakuu wa Idara waliokuwa wanajituma, na kwamba alikuja Manispaa ya Singida na kukuta hali ya watumishi ikiwa katika kiwango cha chini na hivyo kufanya mabadiliko makubwa yaliyorudisha ari ya utendaji kazi kwa watumishi.

Akitoa neno la shukrani kwa niaba ya  madiwani wote,  Mhe. Margareth Malechela, alimtaka Kulanga, kuendeleza mazuri aliyokuwa akiyafanya kwenye Manispaa Singida katika kituo chake kipya cha kazi.

Alimpongeza kwa kufanya kazi bila kuchoka hata kuiwezesha Manispaa ya Singida kupata tuzo katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kutokana na kujali watumishi wake kwa kuboresha mazingira ya kazi, kusikiliza kero za watumishi na kupandisha madaraja watumishi  kwa wakati.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.