• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

“LETENI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WANANCHI ZIWEZE KUFANYIWA KAZI” – NAIBU WAZIRI RIDHIWANI KIKWETE

Posted on: August 26th, 2023

Watendaji ngazi ya mkoa na halmashauri wametakiwa kuwafikia wananchi ili kubaini changamoto zinazowakabili na kuziwasilisha katika wizara husika ili kuweza kufanyiwa kazi.

Agizo hilo limetolewa leo tarehe 26 Agosti, 2023 na Naibu waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete katika ziara yake Mkoani Singida katika Manispaa ya Singida.

Amesema, watendaji wote kuanzia ngazi ya mkoa hadi kwenye halmashauri watoke ofisini na kuwafikia wananchi ili kubaini changamoto zinazowakabili na kuziwasilisha mahali panapo husika

“Mheshimiwa Rais, anataka sisi wasadizi wake tumpelekee changamoto zinazowakabili wananchi ili atupe miongozo katika kuyatatua….. kama RS msipofika kule site mwisho wa siku wananchi watamlaumu Rais kwa kuwatenga, kumbe ni sisi hatukutimiza wajibu wetu”, amesisitiza kikwete

Naibu waziri Kikwete ameendelea kusisitiza kuwaOfisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora haitakuwa kikwazo kwa maendeleo ya wananchi na kwamba kinachohitajika ni uwajibikaji katika kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kuzipatia ufumbuzi.

“….zipo changamoto zinazoweza kutatuliwa na nyie wenyewe na zipo zitakazo hitaji mwongozo wa ngazi ya juu”, amesisitiza.

Aidha Naibu Waziri Kikwete ametoa rai kwa madiwani kukahikikisha wanashughulikia kero za wananchi katika kata zao na siyo kuingia katika masuala yaliyo nje ya emaeneo yao, huku akitolea mfano wa migogoro baina ya madiwani na viongozi ama wataalam katika maeneo mbalimbali.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Yagi Maulid Kiaratu, amemshukuru Naibu Waziri Kikwete kwa ziara aliyoifanya na pia kutumia fursa hiyo kuwasilisha kilio cha watumishi wastaafu ambao mafao yao yamezuiliwa kutokana na michango yao kutowasilishwa na waajiri kipindi cha Utumishi wao.

Mstahiki Meya Kiaratu, ametoa ombi kwa serikali kupitia Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora la kuwapatia wastaafu wenye changamoto kama hizo fedha za kujikimu wakati Halmashauri ama taasisi walizokuwa wakizitumikia zikijipanga kulipa adhabu (riba) kutokana na kushindwa kuwaslisha michango ya watumishi wao.

“nitoe mfano wa Manispaa yangu, kutokana na kutowasilisha michango ya wastaafu interest imekuwa kubwa na kufikia billion 2, ikilinganishwa na michango yenyewe….niombe wastaafu wapatiwe fedha zao za kujikimu wakati muafaka wa malipo ukuendelea kufanyiwa kazi”, amesema Mstahiki Meya

Akizungumzia ombi hilo Naibu waziri Kikwete amesema, serikali imeliona hilo na kwa sasa liko katika mchakato wa majadiliano ili kuwaepusha wastaafu na adha hiyo.

Aidha amempongeza Mstahiki Meya kwa kuishi katika misingi ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kujali maslahi ya watumishi kwa kuyafanya kuwa kipaumbele.

Matangazo

  • UKARIBISHO WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2023 August 26, 2023
  • MAPOKEZI YA FEDHA MRADI WA BOOST NA FEDHA KUTOKA SERIKALI KUU May 04, 2023
  • TANGAZ0 LA ZABUNI - WASIFU WA UWEKEZAJI MANISPAA YA SINGIDA June 28, 2023
  • MAPITIO YA BAJETI 2022/2023 February 21, 2023
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • WAKULIMA WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAKULIMA KWA AJILI YA MBOLEA YA RUZUKU

    September 22, 2023
  • WAJASIRIAMALI SINGIDA WATAKIWA KUHAMISHIA BIASHARA KWENYE SOKO JIPYA LA UNYANKINDI

    September 20, 2023
  • SUWASA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI MANISPAA YA SINGIDA

    September 15, 2023
  • MANISPAA YA SINGIDA YAANZA MAANDALIZI YA MICHEZO YA SHIMISEMITA

    September 05, 2023
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.