• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MUUNGANO: RC SINGIDA APIGA MARUFUKU VIFUNGASHIO VYA VITUNGUU VISIVYOTHIBITISHWA NA SERIKALI

Posted on: April 26th, 2022

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Paskasi Mulagiri leo tarehe 26.04.2022, amepiga marufuku Wafanyabiashara wa Vitunguu katika Mkoa wa Singida kutumia vifungashio ambavyo havijathibitishwa na Serikali.

Mhandisi Muragili ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Singida ametoa katazo hili katika maadhimisho ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo yameadhimishwa ki- mkoa katika Manispaa ya Singida eneo la soko la Vitunguu.

Amesema wapo Wafanyabiashara ambao sio waaminifu na kwamba wanakiuka makubaliano waliyofikia mwaka 2019 baina yake na Wafanyabiashara wa vitunguu ambapo ilikubalika kutumika mifuko ambayo ni ya nyavu (net) za plastiki yenye uwezo wa kubeba kilo kati ya 90 hadi 100 na iliyothibitishwa na serikali.

“Nakumbuka mwaka 2019 tulikutana na Wafanyabiashara tukakubaliana kuachana na rumbesa na badala yake tutumie vifungashio aina ya net zenye uwezo wa kubeba kati ya kilo 90 hadi 100, ninarudia tena ni marufuku kutumika vifungashio ambavyo havijathibitishwa na Serikali” amesisitiza.

Mkuu wa Wilaya Mulagiri, ameagiza Wafanyabiashara wataokiuka agizo hilo wakamatwe na kuchukuliwa hatua kwani sheria iko wazi kuhusina na hilo, Aidha alisema ufungashaji wa rumbesa  huwakosesha haki wakulima.

Mhandisi Mulagiri pamoja na masuala mengine amewapongeza wananchi wa Manispaa ya singida na Wilaya nzima ya Singida kwa ushiriki mzuri katika zoezi la usajili waanwani za makazi na kuwataka kujiandaa na kutoa ushirikiano kwa ajili ya zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika mwezi Agosti, 2022 na kusisitiza kuwa zoezi hilo ni muhimu sana kwa ajili ya mipango ya Maendeleo ya nchi.

Aidha amewataka wananchi kuwapeleka Watoto wao wenye umri chini ya miaka 5 kupata chanjo ya polio kutokana na tishio la ugonjwa huo kutoka nchi ya Jirani ambapo tayari mgonjwa wa polio amepatikana.

“itakumbukwa Tanzania tulipata mgonjwa wa mwisho mwaka 1996. Tumeendelea kuchanja Watoto kila wanapopelekwa kliniki, chanjo hii haitolewi kwa sindano ila kwa matone. Hivyo tusisite kupeleka Watoto kwani madhara ya polio ni makubwa”, alisema.

Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA MRADI WA BOOST NA FEDHA KUTOKA SERIKALI KUU May 04, 2023
  • MAPITIO YA BAJETI 2022/2023 February 21, 2023
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOFAULU MITIHANI (2022) KWA KIWANGO CHA JUU NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE MAALUM ZA VIPAJI. February 21, 2023
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MANISPAA YA SINGIDA YANG’ARISHA WATUMISHI

    May 23, 2023
  • VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KUPITIA UFUGAJI WA NYUKI

    May 21, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA NYUKI DUNIANI YATUMIKE KUJIFUNZA NA KUBADILISHANA UZOEFU

    May 19, 2023
  • WAFANYABIASHARA WATAKIWA KULIPA KODI NA ADA KUPITIA MIFUMO YA ULIPAJI YA KIELETRONIKI.

    May 16, 2023
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.