• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAADUI 3 WA MAENDELEO WAMESHUGHULIKIWA IPASAVYO MKOANI SINGIDA – RC SERUKAMBA

Posted on: December 13th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amemhakikishia Mhe. Mohamed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI kuwa katika mkoa wake umefanikiwa kuwashughulikia maadui watatu wa maendeleo ambao ni maradhi, ujinga na umaskini  na wanaendelea kushughulikiwa kupitia miradi ya elimu na afya inayoendelea kutekelezwa mkoani humo.

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo za mkoa wa Singida, kwa Waziri wa Nchi OR- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, mkuu wa mkoa Serukamba amesema katika kipindi cha miaka miwili ya serikali ya awamu ya sita, bajeti ya mkoa wa Singida imeongezeka na kufikia 327%, vituo vya afya vimeongezeka kutoka 8 na kufikia 17, jumla ya vijiji 331 vimepata umeme na usambazaji wa wa mtandao wa maji safi na salama umefikia 70% katika mkoa wake.

“Nataka nimhakikishie Rais kupitia kwako Mhe. Waziri kwamba kwa Mkoa wa Singida maadui watatu wa maendeleo wameshughulikiwa ipasavyo na serikali hii ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan” amesema Serukamba.

Serukamba amesema katika kipindi cha miaka miwili ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Singida umenufaika katika sekta ya afya kwa kujenga Hospitali 2, majengo 4 ya dharura, majengo 3 ya wagonjwa mahututi, vituo vya afya 17 zahanati 43 watumishi wapya 619 na ununuzi wa dawa na vifaa tiba vilivyogharimu zaidi ya Tshs Bilioni 7.5.

Mkuu wa Mkoa amemweleza waziri huyo kuwa Mkoa wa Singida umepokea magari 06 kati ya mgari 15 ambayo mkoa huo utakabidhiwa , na kwamba magari hayo yatasaidia kurahisisha kasi ya utoaji huduma kwa wanananchi, ubebaji wa wagonjwa hasa kina mama wajawazito na Watoto, shughuli za usimamizi shirikishi katika vituo vya afya na zahanati

Serukamba ameahidi kuyasimamia na kuhakikisha yanafanya shughuli lengwa ili kuchochea kasi ya utoaji huduma kwa wananchi hasa vijijini na maeneo ya pembezoni

Magari 06 aina ya Toyota Landcruiser yamekabidhiwa kwa halmashauri tano na moja kwa mganga mkuu wa mkoa. Halmashauri zilizopata magari hayo ni Iramba, Ikungi, Singida DC, Manyoni na Mkalama. Halmashauri 02 zilizobaki ambazo nisingida Manispaa na Itigi zitakabidhiwa magari yao ifikapo Desemba 30,2023.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.