• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAAJABU YA SINGIDA!!!

Posted on: April 22nd, 2024

MSANIFU majengo kutoka Benki ya Dunia, Dr Antoni Scholtens Folkers ameeleza kushangazwa kwake na soko maalumu la vitunguu lililopo katika Manispaa ya Singida.Dr. Folks ameonesha mshangao h uo mwishoni mwa wiki alipotembelea soko la kimataifa la vitunguu lililopo katika Kata ya misuna katika Manispaa ya singida linalotarajiwa kujengwa kupitia mradi wa TACTIC chini ya Benki ya Dunia.

" Haya ni maajabu kabisa, I have never seen such a market..." amesema Dr. Anthoni.

Msanifu majengo huyo, kutoka Benki ya Dunia, amekiri kushangazwa  na soko hilo na kusema itamlazimu kutulia Ili kuandaa mchoro wa jengo ambao utakuwa wa mfano Afrika na pegine hata ulaya.

Aidha ameonekana kufurahia shughuli zilizokuwa zikiendelea katika soko hilo hususani za upakuaji, uchambuzi wa vitunguu kwa gredi na upakiaji.

Pamoja na mambo hayo, ameweza pia kuona umuhimu wa soko hilo kwa maisha ya jamii kutokana na ajira zinazozalishwa sokoni hapo.

Akimkaribisha mgeni huyo, Diwani wa Kata ya Misuna, Hamis Kisuke amesema, ujio wa mtaalam kutoka Benki ya Dunia umekuja wakati muafaka ambao ndo msimu wa vitunguu hivyo kuona namna shughuli zinavyotekelezwa lakini pia kupata picha halisi ya mazingira wanayofanyia kazi wafanyabiashara na umuhimu wa uwepo wa soko la kisasa.

Naye Mwenyekiti wa Soko la Vitunguu, Iddi Mwanja, amesema soko hilo lina umuhimu sana kwa nchi jirani za Afrika na kutaja nchi zinazofika kununua vitunguu kuwa ni pamoja na Kenya, Uganda, congo, Burundi, sudani kusini, Comoro, Syschelles ambazo wafanyabiashara wake hufika na kununuaa vitunguu hivyo.

" Soko hili ni la kipekee Afrika Afrika Mashariki na Dunia, tunatarajia ujenzi wake utakuwa wa mfano" amesema Mwanja.

Manispaa ya Singida ni miongoni mwa halmashauri 15 zilipitishwa kutekeleza miradi ya TACTIC Kwa awamu ya pili kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Jumla ya miradi 3 itatekelezwa ukiwamo wa ujenzi wa soko la kisasa la vitunguu - misuna, ujenzi wa mfereji mkubwa wa maji ya mvua - Mnung'una Kata ya Minga na ujenzi wa Barabara zenye urefu wa zaidi ya Km. 7

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.