• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Maboresho katika uandikishaji Watoto wenye umri chini ya miaka mitano (5)- Manispaa ya Singida

Posted on: June 22nd, 2021

Maboresho katika uandikishaji Watoto wenye umri chini ya miaka mitano (5)

Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Mulagiri amewataka washiriki katika mafunzo rejea ya uandikishaji Watoto walio na umri chini ya miaka mitano kuwa makini katika kutekeleza kazi hii hasa katika unigizaji majina kwani ni zoezi linalotengeneza mfumo wa kudumu za taarifa za mtu.

Aliyasema hayo wakati akifungua mafunzo rejea ya uandikishaji Watoto wenye umri chini ya miaka mitano kwa watoa huduma za afya kwa vituo vyote vya umma na binafsi na watendaji wa kata zote 18 katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida

“Taarifa ziingizwe kwa umakini wa hali ya juu hasa uingizaji wa majina kwani zoezi hili ndio msingi unaotengeneza mfumo wa taarifa ama nyaraka za mtu”.

Aidha amewataka watoa huduma za afya kuweka utaratibu wa kuwafuatilia wakina mama wanaojifungua ili kuhakikisha wamewasajili watoto wao ndani ya siku 90 ili kuondoa usumbufu kwani baada ya siku hizo atalazimika kulipia usajili wa mtoto katika ofisi za RITA Ofisi ya Mkuu wa Wilaya.

Amesema lengo la kampeni hii ya siku 5  sio tu kuandikisha bali kuandikisha kwa umakini, kuelimisha  na kuhamasisha jamii kwani bado wananchi hawaoni umuhimu  wa kusajili Watoto mapema hali inayopelekea usumbufu hapo baadae pindi uhitaji unapotokea kama kusajili Watoto shule n.k

“ watendaji wa Kata, Mitaa na vijiji watumike Zaidi katika kuelimisha jamii umuhimu wa kuandikisha Watoto kwani uandikishaji huu ndani ya siku 90 ni bure hauna malipo hivyo waahakikishe wamemalizia wimbi hili la watoto wasio vyeti “.

Jumla ya washiriki 73 wanawake wakiwa 41 na wanaume 32  wakiwemo watoa huduma za afya katika vituo vya afya na zahanati za umma na binafsi na watendaji wa kata, mitaa na vijiji wamepata mafunzo rejea ya uandikishaji wa Watoto walio katika umri wa miaka 5 katika Manispaa ya Singida.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KONGOLE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUPEWA TUZO MAALUM YA HESHIMA NA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    May 31, 2025
  • Meya atoa onyo kwa wasiotunza mazingira Manispaa ya Singida

    May 31, 2025
  • MKURUGENZI WA MANISPAA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI MKOA WA SINGIDA

    May 30, 2025
  • WANANCHI 35 WAFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO SINGIDA

    May 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.