• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAFUNZO KWA VIJANA YA KILIMO CHA KISASA CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

Posted on: March 7th, 2022

Serikali imetoa zaidi ya Tshs. 30,000,000 kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa kitalu nyumba pamoja na mafunzo kwa Vijana ya kilimo cha mbogamboga na matunda kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya uzalishaji kwa kutumika kitalu nyumba (green house) katika Manispaa ya Singida.

Mratibu wa mafunzo kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Singida Simon Magige amesema kuwa jumla ya Vijana 100 kutoka katika kata 18 za Halmashauri ya Manispaa ya Singida wamenufaika kwa kupatiwa mafunzo ya uzalishaji wa mazao ya mbogamboga na matunda kwa kuwezeshwa na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Mafunzo hayo kwa mujibu wa mratibu yametolewa na wataalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUGECO) wakishirikiana na wataalamu wa kilimo kutoka Manispaa ya Singida.

Mratibu huyo amesema vijana hao pamoja na mafunzo ya kinadharia pia wanafanya mafunzo kwa vitendo kwa muda wa siku 16. Aidha amebainisha kuwa tayari kundi la kwanza lenye wanafunzi 50 lililoanza mafunzo Februari 28, 2022 limeshapatiwa elimu na kwa sasa kundi la pili lenye wanafunzi 50 ambalo limenza mafunzo 7 March, 2022 linaendelea na mafunzo na kwamba wote kwa Pamoja wanatarajiwa kuhitimu 14 March 2022 na kupatiwa vyeti vya kuhitimu.

Amesema pamoja na mafunzo ya darasani na yale ya vitendo nje ya darasa, wanafunzi hao 100 watapata fursa pia ya kujifunza masuala ya ujasiriamali na kujiunga katika vikundi ili kuweza kutambuliwa rasmi na kufikiwa panapotokea fursa mbalimbali ikiwemo mikopo ya vijana inayotokana na asilimia 10 za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Manispaa.

“Baada ya mafunzo ya nadharia na vitendo kuhusu kilimo cha mbogamboga na matunda Vijana hawa watapata nafasi pia ya kujiunga kwenye vikundi vinavyotambulika rasmi na kuelimishwa juu ya fursa mbalimbali zilizopo”. Alisema Magige.

Magige alisema lengo la kutoa elimu hii kwa Vijana 100 wa kike na wa kiume ni ili waweze kujiajiri na pia kufikisha elimu waliyoipata kwa Vijana wenzao katika maeneo mbalimbali wanayotoka ambao hawakupata fursa ya kujiunga na mafunzo hayo.

Gharama ya zaidi ya Tshs. 30,000,000 zimetumika katika mafunzo pamoja ujenzi wa kitalu nyumba (green house) kilichojengwa kwa ajili ya mafunzo endelevu kwa vitendo (shamba darasa) kwa wakulima wa mbogamboga na matunda katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • INEC YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA VYA SIASA WALA KIAPO CHA UTII

    May 12, 2025
  • MANISPAA YA SINGIDA YATAKIWA KUPIMA MAENEO KABLA YA KUTEKELEZA MIRADI

    May 09, 2025
  • “PONGEZI KWAKO, RC HALIMA DENDEGO”

    May 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.