• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAFUNZO YAKAWEZESHE UMAKINI KATIKA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO

Posted on: October 8th, 2024


Maafisa Maendeleo ya Jamii ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, wametakiwa kutumia mafunzo waliyoyapata kusimamia vyema zoezi la uundaji vikundi, utoaji mikopo na usimamizi wa mikopo hiyo ili iweze kuwa na tija kwa walengwa.


Akihitimisha mafunzo ya siku tano kwa maafisa hao leo 8 Oktoba, 2024, Mgeni rasmi, Athuman Hemedi Mnyusi, ambaye pia ni mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari amewaasa maafisa maendeleo ya jamii hao, kutumia fursa ya mafunzo hayo kuhakikisha wanaunda vikundi vizuri ili viweze kuendesha shughuli zao kwa tija.


Amesema mada kuhusiana na kanuni, miongozo na mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa vikundi zilizowasilishwa ni kielelezo tosha cha kuondokana na changamoto mbalimbali za mikopo na marejesho katika vikundi zilizokuwa zikiikabili Halmashauri.


“….mnaporudi kwenye maeneo yenu ufanyikaji wa zoezi hili la uundaji wa vikundi, utoaji mikopo na usimamizi likafanyike vizuri…….” Amesisitiza Mnyusi.


Amesema anaamini siku tano za mafunzo zitaleta tija kwa kuwa maafisa hao wameweza kubadilishana uzoefu na kusahihisha mapungufu yaliyokuwa yakiwakabili na hivyo kuanza upya kulingana na miongozo na kanuni mpya za utoaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 zitokanazo na mapato ya ndani ya Halmashauri.


Mnyusi amesema Halmashauri haitegemei kuwepo kwa vikundi hewa kwa kuwa sasa vikundi vinakwenda kusajiliwa kidigitali na kuwataka maafisa hao kuwajengea uelewa viongozi ngazi ya kata ili kwa pamoja washiriki kuihamasisha jamii kuunda vikundi vyenye tija.


Hata hivyo amesema matarajio yake kuona Manispaa ya Singida inakuwa mfano wa kuigwa na halmashauri nyingine kwa kutekeleza vyema zoezi hilo la uhamasishaji uundaji wa vikundi na kuvisajili, utoaji mikopo yenye tija na usimamizi mzuri wa mikopo hiyo.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.