• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAJOSHO 02 MAPYA YAZINDULIWA KATA ZA MTAMAA NA MTIPA

Posted on: November 18th, 2022

Halmashauri ya Manispaa ya Singida imezindua majosho mawili mapya yaliyojegwa kwa gharama ya Sh. Milioni 36,000,000 kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Kaimu Mkuu wa Idara ya kilimo, mifugo na uvuvi, Hagai Zakaria amesema kila josho limegharimu sh. 18,000,000 na yote yana ujazo wa lita 12,000. Aidha amesema zoezi la uogeshaji mifugo linaendelea vizuri.

Hagai amesema katika Kijiji cha Mtisi Kata ya Mtamaa Ng’ombe zaidi ya 1,200 na mbuzi zaidi 700 wameweza kuogeshwa wakati katika Kijiji cha Manga Kata ya Mtipa Ng’ombe zaidi ya 800 na kondoo 88 wameogeshwa.

 Akifafanua juu ya gharama za uogeshaji mifugo Hagai amesema, gharama kwa ng’ombe mmoja ni Sh. 100/- wakati mbuzi na kondoo ni Sh. 50/- na kwamba fedha zinazokusanywa hutumika kununua dawa za kuogeshea mifugo.

“mwitikio ni mkubwa na zoezi linaendelea vizuri, gharama za uogeshaji kwa ng’ombe nis h. 100/-, mbuzi/kondoo 50/- kwa mwogesho mmoja, fedha tunazokusanya tunanunua madawa kwa kuwa zoezi ni endelevu” amesema Hagai.

Kaimu Mkuu wa Idara huyo,  ameendelea kusema kuwa Serikali imekuwa ikitoa dawa za ruzuku kwa majosho yote yanayofanyakazi  na kwamba Manispaa ya Singida ilishapokea dawa za ruzuku lita 72 aina ya ‘Paranex’

Manispaa ya Singida katika kuhakikisha mifugo inakuwa katika afya njema imetenga kiasi cha Sh. 10,000,000/- katika bajeti yake ya 2022/2023 kupitia mapato ya ndani kwa ajili ya ukarabati wa majosho 02 ya Mtipa na Unyambwa.

Wakati huo huo Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imetoa mafunzo kwa wavuvi 83 kuhusu uvuvi endelevu, usalama mwaloni na kuorodhesha wavuvi ili kujiunga na chama cha jamii ya wavuvi (BMU).

Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi  Hagai Zakaria amesema mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wavuvi juu ya matumizi ya zana bora za uvuvi zinazokubalika kisheria, madhara ya uvuvi haramu ikiwemo matumizi ya makokoro, usalama wa wavuvi wawapo katika shughuli za uvuvi, ulinzi shirikishi ili kudhibiti uhalifu na umuhimu wa kujisajili ili kupatiwa leseni za mitumbwi.

Mafunzo hayo yalifanyika kwa ushirikiano baina ya wataalamu wa idara ya kilimo, mifugo na uvuvi, polisi wilaya, ofisi ya Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Bomani pamoja na Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Mughanga.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.