• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA IMEPONGEZWA KWA KUVUKA LENGO LA UKUSANYAJI MAPATO 2022/2023

Posted on: August 11th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili ameipongeza Manispaa Singida kwa kuvuka lengo la ukusanyaji mapato na kufikia asilimia 102 katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023

 Mhandisi Muragili, ametoa pongezi hizo leo tarehe 11,Agosti,2023 kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani siku ya pili , uliofanyika katika ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Mwenge, ukiwa ni wa robo ya nne, mwaka wa fedha 2022/2023.

Muragili amesema Manispaa ya Singida imepiga hatua kubwa kwenye ukusanyaji wa mapato kutoka ukusanyaji wa Shs. 2,000,000 kwa mwezi huko nyuma na kufikia shilingi milioni 56 kwa mwezi Julai 2023.

Amesema makusanyo hayo ni ya chanzo kimoja cha ada ya taka, na hivyo kutoa agizo kwa Halmashauri kuhakikisha inapitia vyanzo vingine vyote kuhakikisha vinawekewa mkakati kama ilivyokuwa katika ada za taka ili navyo weze kuinuka.

Mhandisi Muragili pia , amempongeza Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, madiwani, timu ya menejimenti, walimu na watendaji wa Kata na Mitaa kwa ushindi uliopatikana wa nafasi ya kwanza Kimkoa katika utekelezaji wa miradi ya Boost na kusema mafanikio hayo yametokana na usimamizi bora na shirikishi uliopelekea miradi hiyo kukamilika kwa wakati, na kwa viwango vya ubora vilivyokusudiwa na serikali.

 “Mheshimiwa mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, napenda nikipongeze wewe pamoja na baraza lako, wakuu wa idara, walimu, watendaji wa kata na mitaa kutokana na ushindi ulioupata kwa usimamizi bora wa mradi wa boost…….tukifanya hivyo hata Mheshimiwa Rais anayetupatia fedha, atakuwa na moyo wa kuendelea kutupatia kiasi kingine zaidi,”amesema.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, amewashukuru wananchi, wadau na watalaam kwa namna ambavyo wakekuwa wakishirikiana katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuleta ufanisi mkubwa hasa katika miradi ya Boost.

Mhe. Kiaratu, amewashukuru pia viongozi wa Chama na serikali ambao wamekuwa bega kwa bega katika kufuatilia, kusimamia na kushauri ili kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa kuzingatia viwango vya ubora na kukamilika kwa wakati.

Mstahiki Meya kwa namna ya kipekee ametoa pongezi kwa Kijana Raphael Malongo ambaye ametwaa nafasi ya kwanza ya Mfugaji Bora katika kanda ya ya kati kwenye maonesho ya Nane Nane ambayo yalifanyika jijini Dodoma na kusema kijana huyo ni mfano wa kuigwa na vijana wengine ili kuweza kujiajiri na kujipatia kipato.

Katika Maonesho hayo ya Kilimo na Ufugaji , Manispaa ya Singida imeshika nafasi ya Pili Kimkoa huku Halmashauri ya Iramba ikiwa ya kwanza.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.