• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA YAIMARISHA UHUSIANO NA TAASISI ZINGINE KUPITIA BONANZA LA WATUMISHI

Posted on: February 25th, 2023

25 Februari, 2023, Manispaa ya Singida, imefanya bonanza lililohusisha watumishi wa Halmashauri na taasisi mbalimbali, zikiwemo za umma na za binafsi, kwa lengo la kuimarisha afya, umoja na mahusiano baina yao.

Akifungua Bonanza hilo, Mstahiki Meya wa Manispaa Yagi Maulid Kiaratu amepongeza ofisi ya Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida kwa maandalizi mazuri, aliyodai kuwa licha ya kujenga afya, pia litaimarisha ushirikiano kati ya watumishi wa Manispaa na taasisi nyingne.

Katika Bonanza hilo, licha ya Mstahiki Meya kuzungumza na watumishi na wananchi, alifafanua juu ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo zilizotekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu, tangu Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, aingine madarakani.

Amezitaja baadhi ya kazi hizo kuwa ni ujenzi wa vyumba vya madarasa 92, zikiwemo fedha za Uviko-19 na serikali kuu, zahanati tano, vituo vipya vya afya viwili na ujenzi wa majengo ya upasuaji wa mama na mtoto kwa vituo viwili vya afya.

Aidha Mstahiki Meya, ameyataja mafanikio mengine kuwa ni ujenzi wa kituo kipya cha afya katika kata ya Mtipa kupitia fedha za mapato ya ndani, ujenzi wa machinjio mapya kwenye eneo la Ng’aida, ukamilishaji  vyumba viwili vya madarasa na ujenzi wa vyoo vya shule ya Sekondaari Maharu.

Kutokana na mafanikio hayo, Mstahiki Meya amewataka watumishi wa taasisi zote kukuza ushirikiano na kuimarisha umoja, ili kuwezesha miradi ya maendeleo kutekelezwa kwa wakati.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Singida Mjini, Lucia Mwiru, ameipongeza Manispaa ya Singida kwa hatua kubwa ya maendeleo katika kipindi cha miaka sita, tangu aingie madarakani.

Mwenyekiti huyo amesema kuwa, katika kipindi hicho hajawahi kuona mapato ya ndani ya Manispaa ya Singida yakifanya kazi kubwa, kama ilivyo sasa na kuongeza kuwa mafanikio hayo yametokana na ushirikiano na mahusiano imara baina ya ofisi ya Mkurugenzi, watumishi, madiwani na taasisi mbalimbali.


Katika Bonanza hilo, zilizetolewa zawadi mbalimbali, ikiwemo fedha taslimu kutoka, zilizotolewa na Mstahiki Meya, aliyezituza timu shiriki, kwa kila goli moja lililofungwa shilingi elfu kumi, hivyo kufanya jumla ya shilingi zaidi ya laki moja kuzawadiwa kwa timu shiriki.

Michezo mbalimbali iliyofanyika katika Bonanza hilo ni, shindano la kula mkate na kunywa soda, jogging, mazoezi ya viungo, riadha, mbio za magunia, kuvuta kamba, kufukuza kuku, mpira wa miguu na mpira wa pete.    

Mstahiki Meya wa Manispaa akifuata nyayo za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwatunza wanamichezo, kwa meya huyo kutoa zaidi ya Tshs. 100,000/-  kwa kila goli lililofungwa na timu shiriki

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.