• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA YAKABIDHIWA MRADI WA MIL.214,019,750

Posted on: November 22nd, 2023


Halmashuri ya Manispaa Singida  hivi karibuni imekabidhiwa rasmi mradi wa Empowered  School Program ambao umegharimu kiasi cha ashilingi milioni 214,019 750, kutoka katika Shirika la Worldserve International ambalo limefanikiwa kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa kikapu (Basketball), na miradi  mingine mitatu ndani ya Shule ya Msingi Mwaja na tayari imezinduliwa.



Uzinduzi wa uwanja huo ulienda sambamba na miradi mingine ikiwemo ufunguzi wa bustani ya shule, kisima cha maji huku Shule ya Msingi Mwaja ikikabidhiwa vishikwambi 48 kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa  ya awali. 



Uzinduzi  huo ambao uliongozwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Singida, Geofrey Mdama akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa, Edward Mboya, Mwakilishi wa Shirika la Worldserve International, Rebecca Mmbaga. 



Wengine waliohudhuria uzinduzi huo ni Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Mkuu wa Idara ya Uchumi na Mipango, Mkuu wa Kitengo cha Micheza, Sanaa na Utamaduni, kamati ya Shule, Viongozi wa Chama, Mtendaji wa Mtaa, Walimu wa Shule ya Mwaja, Kamati ya Serikali Mtaa na Ushirikiano kati ya Walimu na Wazazi. 



Naibu Meya wakati akizindua miradi hiyo, aliwashukuru Worldserve International Kwa kazi kubwa ambayo wamefanya huku akisisitiza kuwa ni vyema  shule zikatunza na kuendeleza miradi hiyo kwani imegharimu fedha nyingi katika utekelezaji wake na mfadhili  alikuwa na uwezo wa kupeleka fedha sehemu  nyingi lakini aliona Manispaa ya Singida katika Shule ya Mwaja  walikuwa na uhitaji na wakaweza kufanikisha hilo.



Naye mwakilishi wa Mkurugenzi wa Worldserve International, Rebecca Mmbaga alisema walipata fursa na kuweka mradi huo lengo lilikuwa ni kusaidia shule na jamii ambayo inazunguka eneo hilo na  uwanja ambao wamejenga ni kwa ajili ya michezo na shule zingine  zitaruhusiwa kutumia na hata jamii kwa kufuata utaratibu. 



Aliongeza kwa upande wa matumizi ya maji jamii itaruhusiwa Kwa utaratibu maalum wa kuvutiwa nje ya eneo la shule.



Mmbaga alisema: "Naukabidhi rasmi mradi huo kwa Shule ya Msingi Mwaja ukiwa umegharimu kiasi cha milioni 214,019,750  na mtawajibika kutunza na kufanyia marekebisho na Worldserve International watapita kukagua, kutembelea na kuona shule inapata faida gani kupitia miradi hiyo na shirika litatoa ushauri wake kiufundi.



"Na sasa rasmi  nakabidhi mradi huu kwa Mkurugenzi wa Manispaa Singida sababu wao ndiyo wasimamizi wakuu wa shule hii ya Mwaja ambao ni wanufaika wa mradi huu."



Naye Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa, Edward Mboya alisema: "Nimekabidhiwa mradi ukiwa katika hali nzuri sasa ni jukumu letu kuilinda na kuitunza jambo ambalo litawapa faraja wafadhili wetu kuona inaendelea kizazi na kizazi lakini shule hili ni jukumu lenu  kuhakikisha mnatunza miradi hii."


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.