• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA YAZINDUA KAMPENI YA CHANJO YA SURUA NA RUBELA

Posted on: February 16th, 2024

Manispaa ya Singida, leo Februari 16, 2024 imezindua rasmi Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Surua na Rubella uliofanyika katika hospitali ya Manispaa.


Akizindua kampeni hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu ameendelea kuwasisitiza wananchi kwa ujumla kujitokeza kuwapeleka Watoto katika chanjo ili kujikinga na maambukizi yasirua na Rubella.


Kauli mbinu ya kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Surua na Rubella kwa mwaka 2024 ni ‘ONESHA UPENDO, MPELEKE MTOTO AKAPATE CHANJO. 


Kampeni hiyo Kwa Manispaa ya Singida Ilianza jana Februari 15 na inatarajiwa kuhitimishwa Februari 18, mwaka huu.


Chanjo hiyo inatolewa katika maeneo yote ya huduma za afya na katika maeneo maalum yaliyotengwa ndani ya Manispaa ya Singida.


Walengwa wa chanjo hii ni wale watoto wenye umri kuanzia miezi 09 mpaka miezi 59 kwa maana ya umri chini ya miaka 05.


Lengo la chanjo hiyo ni kumkinga mtoto na maambukizi ya virusi vya surua na rubella ambavyo husababisha homa Kali Kwa watoto.


  Meya alieleza kuwa chanjo hizo ambazo zinatolewa  ni Salama na zinalenga kuboresha afya ya mtoto na kumpa nafasi ya kukua kikamilifu na kumlipa na magonjwa ya mlipuko.


 Aidha kiongozi huyo amewapongeza kina mama Kwa kuwa mstari wa mbele katika kuwapeleka Watoto kupata chanjo huku akiwasisitiza kina baba nao kuhakikisha wanawaunga mkono kina mama katika zoezi hili ilikuhakikisha Watoto wanakuwa na afya njema.


“Chanjo hii ni muhimu kwa Watoto na haina madhara kama ambavyo watalaam wameeleza, kwa ninyi ambao mmejitokeza hapa naomba mkawaeleze na kuwashawishi majirani zenu iliwaweze kuleta watoto kupata chanjo,” amehimiza Meya.


 Aidha Mhe. Kiaratu alisisitiza kuwa chanjo hiyo ni bure hivyo wananchi wajitokeza kwa wingi kuhakikisha Watoto wanapata huduma hiyo muhimu kwa ajili ya kuimarisha Kinga za watoto.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.