• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAONESHO YA NANE NANE YATUMIWEKAMA SHAMBA DARASA KWA MAPINDUZI YA SEKTA YA KILIMO

Posted on: August 9th, 2023

Serikali imewataka wananchi kuchukua maonesho ya Nanenane kama mashamba darasa ya kujifunza mbinu na teknolojia mpya kupitia wataalam wamifugo waliopo katika maonesho hayo pia kuichukua kama fursa ya kubadilishana uzoefu na kutangaza fursa mbalimbali za masoko na uwekezaji zilizopo katika sekta ya kilimo.

Naibu Waziri wa Kazi Ajira na Watu wenye walemavu, Patrobas Katambi ameeleza hayo katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za Nanenane kanda ya kati yaliyofanyika jijini Dodoma.

Katambi amesema, kauli mbiu ya Nanenane mwaka huu 2023 inayosema “Vijana na wanawake ni msingi imara wa mafunzo endelevu ya chakula”, imeeandaliwa mahususi baada ya kutathmini kwa kina na kubaini mchango wa vijana na wanawake katika shughuli za uzalishaji zilizochangia usalama wa chakula na kipato.

Katambi amesema ……..mchango wa ukuaji wa uchumi ambao unatokana na shughuli za kilimo, mifugo, uvuvi na misitu umepungua sana kutoka asilimia 3.9 ya mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 3 mwaka 2022.

Aidha amesema mchango wa kilimo katika pato la taifa umepungua kutoka asilimia 26.8 mwaka 2021 hadi 26.2 mwaka 2022.

Naibu Waziri huyo amesema kushuka kwa silimia hizo kumetokana na changamoto za ugonjwa wa uviko 19 na mabadiliko ya tabia ya nchi yaliyojitokeza na kuathiri shughuli za uzalishaji.

Amesema serikali mbali na changamoto zinazowakabili wakulima na wafugaji inaendelea kuwajali na kuhakikisha inafanya mapinduzi makubwa na kufanya Tanzania kuwa moja ya nchi inayosifika duniani kwa usafirishaji wa mazao ya chakula biashara na malighafi.

Katambi amesema pia maonesho hayo yanatoa mwanya wa kuleta ufumbuzi wa matatizo mbalimbali yanayokabili uzalishaji na biashara katika mnyororo wa thamani wa sekta hizi za kilimo, mifugo na uvuvi.

Amefafanua zaidi kuwa serikali imeweka maonesho haya ya nanenane ili kutambua mchango wa wakulima wafugaji na wadau wote katika sekta hizi kutokana na mchango wake mkubwa katika pato la taifa, kupunguza umasikini pia kutoa uhakika wa upatikanaji wa chakula, “…..asilimia themanini ya watanzania wanategemea kilimo,uvuvi na ufugaji kwa ustawi wa maisha yao….” Amesema Katambi.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.