• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MASHINDANO YA UMITASHUMTA MKOA WA SINGIDA YAZINDULIWA

Posted on: May 29th, 2024

MASHINDANO ya UMITASHUMTA, Mkoa wa Singida yamezinduliwa rasmi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kusaka timu za mkoa kwa ajili ya mashindano hayo ya kitaifa ambayo yafanyika mwezi Juni, mwaka huu, mkoani Tabora.

Mashindano hayo yamezinduliwa leo, Mei 29, 2024 ngazi ya mkoa katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Mwenge na ikishiriki Halmashuri zake saba ambazo Manispaa, Singida DC, Itigi, Manyoni,Mkalama,Ikungi na Iramba ambao wataunda timu moja kwa kila mchezo kwa ajili ya michuano ya kitaifa ya UMITASHUMTA na wanafunzi 840 wakishiriki mashindano hayo.

Lengo la mashindano haya ni kupata timu ambazo zitaweza kuiwakilisha Singida katika mashindano ya UMITASHUMTA Taifa mashindano ambayo yatafanyika Mkoa wa Tabora, Juni mwaka huu.Mashindano ya kuandaa timu za mkoa yameanza leo na yanatarajiwa kukamilika Mei 31, mwaka huu.

Afisa Michezo, Utamaduni na Sanaa wa Mkoa wa Singida, Amani Mwaipaja amesema kuwa kwasasa wapo katika mchakato wa kusaka timu ambazo zitakwenda kuiwakilisha Singida katika michuano ya kitaifa ya UMITASHUMTA.

“Mashindano ya safari hii yanaonekana kuwa na hamasa licha ya kuwa ni siku yetu ya kwanza Watoto wanaonekana kufurahia na kuchangamka katika michezo mbalimbali ambayo inaendelea hapa. Lakini vipaji vinaonekana tumeangalia katika michezo tofauti ambayo imeanza kuchezwa hivyo tunaamini tutapata timu bora zaidi kuliko zile na mwaka uliopita na tutafanya vizuri kwani kuna vitu vimeongezeka.

“Lakini niwashukuru Wakurugenzi wa Halmashauri kwa kuwawezesha wanafunzi na walimu kufika kwenye mashindano hayo kama unavyofahamu michezo hii inahitaji fedha, ila wamepambana na kufanikisha hilo, tunaamini tutapata timu bora ambazo zitaiwakilisha Singida.”

Kwa upande wa Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi wa Manispaa ya Singida, Omary Maje alisema: “Tumekuja kwa ajili ya mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya mkoa kutafuta timu bora ya Mkoa wa Singida tunaamini katika mashindano haya timu za Manispaa zitafanya vizuri.”

Hata hivyo, Afisa Michezo, Utamaduni na Sanaa wa Manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda alisema: “Sisi kama wenyeji tumejipanga vizuri, tunaamini kuwa mwaka huu kama Manispaa tutafanya vizuri na michezo yetu ya awali leo tumeanza vizuri hiyo dalili nzuri kwetu, lakini lengo ni kupata timu bora za mkoa.”



Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.