• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mbio za mwenge wa uhuru zaanza mkoani Singida

Posted on: June 29th, 2017

MBIO za mwenge wa uhuru mwaka huu mkoani Singida zilizoanza tarehe 27/2017,zinatarajiwa kufungua,kuzindua,kuweka mawe ya msingi na kutembelea mirandi 45 mbalimbali ya maendeleo ya wananchi,yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 20.1.

Mwenge huo ulioanza mbio zake katika wilaya ya Manyoni mkoani Singida  ukitokea mkoani Dodoma,utafungua miradi 14,utazindua nane,mawe ya msingi 13 na utatembela kumi.

Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya mwenge huo yaliyofanyika jana kijiji cha Sanza,mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Rehema Nchimbi,alisema kati za fedha hizo,zaidi ya shilingi 6.2 bilioni,ni nguvu kazi ya   wananchi,halmashauri shilingi bilioni moja,serikali kuu bilioni 13.2 na wahisani shilingi bilioni moja.

Alitaja baadhi ya  miradi hiyo ni ya kutoka  sekta ya ufugaji,mazingira,maji,afya,elimu,barabara,utawala bora,kilimo,ushirika,biashara,ardhi na programu za mapambano dhidi ya madawa ya kulevya.

Aidha,,makabidhianao hayo,yalitumika pia kuzindua dawati la sekta binafsi ambalo litakuwa chini ya uratibu wa maafisa maendeleo ya jamii.

“Dawati litatambua kwa takwimu,mahali,aina ya shughuli na hali ya uzalishaji,ili kuhakikisha ushiriki mtambuka unaowajibika ipasavyo ikiwemo kutoa taarifa ya soko la mazao mbalimbali.Lengo ni kurahisisha uwekezaji mkoani kwetu”,alisema Dk.Nchimbi.

 Kwa upande wake kiongozi wa mbio za mwenge mwaka huu,Amour Hamad Amour,amesema kuwa amefurahishwa na wilaya ya Manyoni,kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha dhana ya Tanzania ya viwanda imeanza kutekelezwa kwa vitendo.

Alisema mradi wa ushonaji nguo na wa ufugaji nyuki kibiashara,ina viashiria vya wazi kuwa halmashauri ya Manyoni,itakuwa ya viwanda vidogo,vya kati na hata vikubwa, mbele ya safari.

“Nitumie fursa hii kuwaomba maafisa wa maendeleo ya jamii,wahakikishe vikundi vya wanawake na vijana,wanapatiwa mikopo kutoka asilimia tano ya mapato ya ndani ya halmashauiri,ili viweze kupata nguvu ya kuanzisha viwanda vidongo.Msiishie hapo,wapeni na mafunzo mbalimbali ya ufugaji nyuki,kuku na mifugo kibiashara”,alisema Amour na kuongeza;

 

“Na hawa akina mama waliojiunga kwenye kikundi cha ushonaji,wapewe mafunzo ya kuboresha shughuli zao ziweze kwenda na wakati”.

 

Mbio za mwenge wa uhuru tarehe 28/6/2017 zinatarajiwa kuendelea katika halmashauri ya Itigi,na  juni 29,mwaka huu,utakimbizwa wilaya ya Singida.


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.