• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MCHAKATO WA UTOAJI MIKOPO ROBO YA TATU WAENDELEA NGAZI YA HALMASHAURI

Posted on: April 14th, 2025

Kamati ya huduma ya mikopo ya Halmashauri ya  Manispaa ya Singida leo 14 Aprili, 2025 imewasilisha mapendekezo ya utoaji wa mikopo kwa  vikundi vilivyoomba na kukidhi vigezo katika robo ya tatu kwa mwaka 2024/2025 mbele ya timu ya menejimenti ya Manispaa ya Singida wakiwemo watendaji wa Kata.

Akiwasilisha mapendekezo hayo kwa niaba ya kamati,  Katibu wa kamati hiyo ambaye ni Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, Upendo Naftali, amesema vikundi vilivyoomba mikopo  katika robo ya tatu ni  84 ambapo baadhi havikukidhi vigezo.

Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, Upendo Naftali akitoa ufafanuzi katika baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wajumbe wa timu ya menejimenti na watendaji wa Kata.

Mtendaji wa Kata ya Mtipa , Mwajuma Labia, akiuliza swali kuhusiana na muongozo wa utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

Wajumbe wa timu ya menejimenti wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Manispaa Brighton Geban, aliyeongoza kikao hicho kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa, wakifuatilia ufafanuzi wa maswali mbalimbali yaliyoulizwa kutoka kwa Bi. Upendo Naftali

 

Pichani ni baadhi ya watendaji wa kata ( kutoka Juu Hassan Bongoyo na Reuben Njou) wakiuliza maswali ili kupata uelewa wa pamoja katika kikao cha kuwasilisha taarifa ya maombi ya mikopo Dirisha la pili.

Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, Upendo Naftali akitoa ufafanuzi katika baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wajumbe wa timu ya menejimenti na watendaji wa Kata.

Mtendaji wa Kata ya Mtipa , Mwajuma Labia, akiuliza swali kuhusiana na muongozo wa utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

Wajumbe wa timu ya menejimenti wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Manispaa Brighton Geban, aliyeongoza kikao hicho kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa, wakifuatilia ufafanuzi wa maswali mbalimbali yaliyoulizwa kutoka kwa Bi. Upendo Naftali


Pichani ni baadhi ya watendaji wa kata ( kutoka Juu Hassan Bongoyo na Reuben Njou) wakiuliza maswali ili kupata uelewa wa pamoja katika kikao cha kuwasilisha taarifa ya maombi ya mikopo Dirisha la pili.


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • INEC YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA VYA SIASA WALA KIAPO CHA UTII

    May 12, 2025
  • MANISPAA YA SINGIDA YATAKIWA KUPIMA MAENEO KABLA YA KUTEKELEZA MIRADI

    May 09, 2025
  • “PONGEZI KWAKO, RC HALIMA DENDEGO”

    May 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.