• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MEYA MANISPAA AWAPONGEZA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA VITUNGUU

Posted on: February 24th, 2024


Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Yagi Kiaratu amewashukuru wafanyabiashara wa Soko la Vitunguu la Manispaa ya Singida kwa kusaidia kuchangia mapato kwa serikali na kukuza uchumi wa mtu mmojammoja.

Hayo yamesemwa, leo Februari, 24, 2024 kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa vitunguu, katika Soko la Vitunguu, lililopo eneo la Misuna, Manispaa ya Singida.

Uzinduzi wa msimu mpya wa Soko la Vitunguu uliudhuriwa na viongozi mbalimbali serikali, chama, soko, wafanyabishara pamoja na wananchi.

 Meya alimshukuru Mwenyekiti wa Soko la Vitunguu, Idd Sale Mwanja kwa kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya kwa kushirikiana na Manispaa ya Singida katika ukusanyaji wa mapato.

 “Nawashukuru kwa namna ambavyo mnatusaidia sisi kudhibiti mapato ya halmashauri. Mwenyekiti unaweza kuwa haujui, ila takwimu zako ambazo  unatunza zimekuwa zikitusaidia kujua hapa kuna nini na pale hivyo tukirudi kwa mkusanyaji wetu tunajua hapa tumepigwa au laa.

“Leo hii tunazindua msimu mpya wa vitunguu tunatakiwa kufahamu, hili ni soko la kimataifa kama wenzangu walivyosema linaunganisha watu wengi japo wengi wanaweza kujiuliza umataifa wake uko wapi? Lakini ukiangalia kitunguu cha Singida ni bora zaidi duniani ndiyo maana watu wanatoka nchini tofauti kama Congo, Kenya na nchi nyingine, ila tunataka kukipeleka huko Uarabuni na kitafika huko kama soko litakuwa na huduma bora, lugha nzuri na wateja wakajitokeza zaidi.

“Serikali ya awamu sita inatambua umuhimu wa masoko na ubora wake ndiyo maana Halmashauri ya Manispaa ya Singida imekuwa ikifanya marekebisho madogomadogo hapa na tulifanya hivyo sababu tulikuwa na mpango mkubwa na soko hili, mwaka huu tayari tumeanza mkakati wa kujenga soko la kimataifa hapa Misuna na washauri wa mradi wapo Singida tayari halmshauri imeelekeza inataka soko la namna gani.

“Soko litakuwa la kisasa na huduma zote za kijamii na kifedha zitapatikana barabara zote za kuzunguka soka hapa zitawekwa rami, ili hata wakigeni wakija wafurahie huduma.”

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.