• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MIRADI YA MAENDELEO YAKAGULIWA, MAAGIZO YATOLEWA

Posted on: January 7th, 2026

Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu wa Manispaa ya Singida, Christopher Ngonyani, ameongoza timu ya wataalamu kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, huku akisisitiza umuhimu wa kukamilishwa kwa miradi hiyo kwa ubora na kwa kuzingatia miongozo ya Serikali.

Katika ziara hiyo, Ngonyani alisema lengo la ukaguzi ni kuhakikisha fedha za umma zinatumika ipasavyo na miradi inakamilika kwa wakati uliopangwa ili wananchi wanufaike na huduma zinazokusudiwa.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na ukamilishaji wa maabara mbili katika Shule ya Sekondari Mughanga, zilizogharimu Sh milioni 60, pamoja na ukamilishaji wa maabara moja katika Shule ya Sekondari Mufumbu yenye gharama ya Sh milioni 30.

Pia timu hiyo ilikagua ujenzi wa matundu 10 ya vyoo katika Shule ya Sekondari Mitunduruni, mradi uliogharimu Sh milioni 22, pamoja na ukamilishaji wa mabweni mawili katika Shule ya Sekondari Mungumaji kwa gharama ya Sh milioni 40.

Kwa upande wa sekta ya afya, Ngonyani alitembelea ukamilishaji wa wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Sokoine, mradi wenye thamani ya Sh milioni 130, na ukamilishaji wa jingo la Mama na Mtoto  Zahanati ya Unyamikumbi kiasi cha mil.60 unaolenga kuboresha huduma za afya kwa mama na mtoto.

Aidha, alikagua ujenzi wa shule ya mkondo mmoja Unyamikumbi B, mradi uliogharimu Sh milioni 302.2, ambapo jumla ya madarasa saba yanajengwa ili kupunguza msongamano wa wanafunzi na kuboresha mazingira ya kujifunzia.

Ngonyani aliwataka wakandarasi na wasimamizi wa miradi hiyo kuzingatia viwango vilivyowekwa na Serikali.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • BARAZA LA MADIWANI SINGIDA MANISPAA LAPITISHA BAJETI

    February 10, 2026
  • "TUWAJIBIKE KATIKA MAPATO, TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KWA AJILI YA HALMSHAURI"

    February 09, 2026
  • KAMATI YA MAENDELEO WILAYA YAKAGUA NA KUTEMBELEA WANAFUNZI WAKE

    February 08, 2026
  • DAS AWAASA WATUMISHI BIMA YA AFYA KWA WOTE

    February 06, 2026
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.