• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA SINGIDA KUPOKEA MBEGU ZA RUZUKU ZA ALIZETI ZENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILIONI 8.5

Posted on: January 3rd, 2024



MKOA wa Singida umepokea mbegu za ruzuku za Alizeti zenye thamani ya shilingi bilioni 8.5 ambazo zitatolewa kwa wakulima mkoani hapo, ilikuongeza uzalishaji bora na wenye tija.


Hayo yamesema leo Januari,3, 2024 na Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), wakati akizindua rasmi programu ya usambazaji wa mbegu za Alizeti aina ya "record" Katika Mkoa wa Singida, uzinduzi uliofanyika katika Manispaa ya Singida, ukumbi wa RC mission.


Tukio Hilo la uzinduzi wa programu hiyo, lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, Chama na Taasisi, Wakuu wa Idara Mkoa, Halmashauri za mkoa wa Singida pamoja na wakulima kutoka katika halmashauri 7 za Mkoa wa huo.


Silinde alisema: “Singida itapewa tani 600 za mbegu bora za Alizeti na tani 315 za mbegu chotara ambazo ni sawa na asilimia 42.8 ya mbegu zote ambazo zinasambazwa nchini zenye thamani ya bilioni 6.5 na mbegu za uchavushaji tani 285 ambazo thamani yake ni bilioni 2.28 hivyo kwa msimu huu, Singida itapata mbegu zenye tahamni ya bilioni.8.5 ambazo zitatolewa kwa bei ya ruzuku ya serikali.”


Hata hivyo, kiongozi huyo aliongeza kuwa: Wizara ya Kilimo kwa msimu wa 2023/24 kupitia Wakala wa Mbegu ASA wanatarajia kusambaza jumla ya tani 2045 za mbegu bora za alizeti zilizothibitishwa ikiwa ni pamoja na tani 700 za mbegu chotara ambazo zinaingizwa kutoka nje ya nchi na tani 625.4 zinapatikana kupiti kwa makampuni binafsi ndani ya nchi.


“Matarajio yetu kama wizara na serikali ni kuona mbegu hizo zinatumika ipasavyo kama ilivyokusudiwa ili kutimiza azma ya Serikali ya uzalishaji wa mafuta ya kutosheleza nchini.” amesisitiza Silinde.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.