• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA SINGIDA WAADHIMISHA MUUNGANO KWA SHUGHULI ZA KIJAMII KATIKA MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: April 26th, 2023

Halmashauri ya Manispaa ya Singida inajenga shule mbili Mpya kupitia Mradi wa BOOST ili kupunguza changamoto ya msongamano wa wanafunzi katika shule za Msingi MINGA na NYERERE ambazo zimekuwa na idadi kubwa ya wanafunzi na kusababisha msongamano mkubwa madarasani.

Katika kilele cha maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano,  Mkoa wa Singida umeadhimisha siku hii kwa kufanya shughuli mbalimbali katika eneo la ujenzi wa shule mpya Minga ambazo zilijumuisha shughuli za uchimbaji Msingi, usafishaji eneo la ujenzi na upandaji Miti.

Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba  pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na serikali,viongozi wa dini na  taasisi mbalimbali za umma na binafsi, wameweza kushiriki shughuli hizo ikiwa ni moja ya njia ya kuuenzi Muungano kwa vitendo.

Mkuu wa mkoa amewaasa wananchi kutumia fursa zilizopo za kiuchumi, kisiasa na kijamii ambazo ni matokeo ya muungano.

Amesema  ni vyema wananchi wakatumia vyema fursa hizo katika kujiletea maendeleo.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Yagi Maulid Kiaratu, amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni muungano pekee imara duniani na kwamba wananchi wana kila sababu ya kuulinda kwani una manufaa makubwa kwa taifa na hata mtu mmoja mmoja.

Mstahiki Meya ametoa mfano wa uwezeshaji kaya maskini kuwa ni moja ya manufaa ya Muungano kwani walengwa wa pande zote wananufaika na mpango huo bila kukwepa  manufaa ya mtu mmoja mmoja

Pamoja na shughuli  hizo , Mkuu wa Mkoa Peter Serikamba ameweza kuzindua  magari mawili mapya ya kubeba taka ambayo yamenunuliwa na Halmashauri ya Manispaa ya Singida kupitia fedha za mapato ya ndani ya Manispaa ambapo yamegharimu zaidi ya Tshs. 200.

Shughuli za Muungano katika Manispaa ya Singida zimeadhimishwa kwa kufanya shughuli zikiwemo kutembelea mradi wa njia ya chini kwa waenda kwa miguu, kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa zahanati ya Isomia, Uzinduzi wa wiki ya kitaifa ya chanjo, upandaji miti pamoja na shughuli za usafi katika maeneo yote ya mji.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.