• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKURUGENZI WA MANISPAA AFUNGUA MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI

Posted on: March 13th, 2024


Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Adrianus Kalekezi amefungua mafunzo ya siku mbili ya Uhakiki Anwani za Makazi katika Mfumo wa Kidigitali (NaPA) katika Manispaa ya Singida.

Mafunzo hayo yametolewa kwa Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji Halmashauri ya Manispaa ya Singida kwa ajili ya Uhakiki wa Anwani za Makazi.

Zoezi hilo lilifanyika, katika Ukumbi wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Mwenge Manispaa ya Singida.

Mkurugenzi amefungua mafunzo hayo akiwa na Wataalam kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambao ni wataalam wa mfumo wa Anwani za Makazi pamoja na Wataalum kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida na Halmashauri ya Manispaa ya Singida.
Mkurugenzi amesema uwepo wa Anwani za Makazi utakuwa msaada mkubwa kwa jamii kama ilivyo kwa nchi zilizoendelea.
"Hizi Anwani za Makazi ni maagizo kutoka kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwamba nchi nzima twende kwenye Anwani za Makazi  na zoezi hili lilianza tangu huko nyuma.
"Na leo tupo na wataalam wetu wa mfumo wa Anwani za Makazi ambao watatoa mafunzo hapa na kutoa elimu zaidi na kuona tunapata Anwani za Makazi, kwani kuna majengo mapya na kuna sehemu zilikuwa hazijapimwa,ila sasa kila kitu kitaenda sawa.
"Uwepo wa Anwani za Makazi kuna faida kubwa jambo ambalo litakuwa msaada kwa wakazi na nchi yetu kwa ujumla kama ambavyo wetu Ulaya wamekuwa na utaratibu huu ambao umekuwa ni rafiki.
" Hapa tunapewa elimu zaidi, ilikwenda katika Kata, Mitaa na Vijiji vyetu kuona mambo yanaenda sawa kwa kuwa na Anwani za Makazi, lakini pia mafunzo haya yatajenga uelewa hasa katika Mfumo wa kidigitali(NaPA).

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.