• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MWENGE WA UHURU WASISITIZA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST

Posted on: July 8th, 2024


KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2024,Godfrey Mnzava, amesisitiza taasisi za umma kuendelea kuzingatia Mfumo wa Ununuzi wa Umma (NeST ) wakati wa kufanya manunuzi ili kuweka uwazi na uwajibikaji.

Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Singida leo (Julai 8, 2024) baada ya Mwenge wa Uhuru kukagua barabara ya Minga yenye urefu wa kilometa 1.21 iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya Sh. 992,096,092.

Mnzava amesema Rais Samia Suluhu Hassani ameendelea kuelekeza manunuzi ya umma yapitie katika mfumo wa Nest ambao unasimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) lengo ni kuendelea kuweka uwazi,uwajibikaji na kudhibiti manunuzi ya umma.

Amesema kupitia mfumo huo wazabuni mbalimbali wanaomba zabuni moja kwa noja na kujua nani mwenye sifa na nani hana sifa na huu ni mkakati wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuhakikisha kunakuwa na udhibiti katika manunuzi.

"Kumekuwa na malalamiko kwamba kuna watu wanapendelewa kupewa zabuni lakini kupitia mfumo wa NeST hakuna cha upendeleo kwani unaona kitu gani umekikidhi na kipi haujakidhi," amesema Mnzava.

Aidha,Mnzava ameipongeza Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) Manispaa ya Singida kwa kuzingatia mfumo wa NeST ambayo ndio maelekezo ya serikali katika suala la manunuzi.

Awali Meneja wa TARURA Manispaa ya Singida,
Mhandisi Lazaro Kitomari amesema ujenzi wa barabara ya Minga kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 1.21 inajengwa kwa kutumia fedha za Mfuko wa Barabara ikiwa ni sehemu ya fedha inayotolewa kila mwaka kwa ajili ya matengenezo ya barabara.

Amesema Wakala wa barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) ilipanga kuijenga barabara hii kwa kiwango cha lami katika awamu tatu,awamu ya kwanza ilijenga kilometa 0.6 katika mwaka wa fedha 2021-2022, awamu ya pili ilijenga kilometa 0.61 mwaka wa fedha 2022-2023 na awamu ya tatu mwaka wa fedha 2023/2024 ambapo TARURA imefunga taa za barabarani 37.

Kitomari amesema gharama za mradi huu ni Sh. 344,128,092 awamu ya kwanza na Sh. 452,268,000 awamu ya pili mwaka wa fedha 2022-2023.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.