• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

NAIBU WAZIRI TAMISEMI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BOOST MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: June 16th, 2023

Manispaa ya singida imepongezwa kwa kasi nzuri ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa BOOST ambayo ni matokeo ya usimamizi mzuri na shirikishi.

Naibu Waziri wa TAMISEMI Deogratius  Ndejembi amesema hayo leo tarehe 16 Juni 2023 baada ya kutembelea baadhi  miradi hiyo na kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wake.

Miradi iloyotembelewa nI ujenzi wa shule mpya ya msingi Minga, ujenzi wa shule mpya ya msingi Nyerere na ujenzi wa vyumba 03 vya madarasa na vyoo matundu 03 katika shule ya msingi Mwaja

Aidha Ndejembi ameagiza kuongezwa kwa kasi katika miradi mingine ili kuwezesha kukamilika kwa wakati na kwa kufanya hivyo kutaiweka Manispaa ya Singida katika nafasi nzuri ya kupatiwa fedha za kutekeleza miradi mingine.

Naibu Waziri Ndejembi ametoa agizo la kuhakikisha viwanja vya michezo haviguswi wakati wa kuchagua eneo la utekelezaji wa mradi “viwanja vya michezo visiguswe wakati wa uchaguzi wa eneo la ujenzi wa vyumba vya madarasa, michezo ni afya kwa watoto na ni muhimu katika ukuaji wao “, amesema Ndejembi.

Ndejembi amesema pia kuwa fedha zaidi shilingi milioni 570 zinatarajiwa kuletwa kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa shule.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili ametumia fursa hiyo kumkumbusha ahadi aliyotoa Waziri Ummy Mwalimu wakiti akiwa waziri wa TAMISEMI juu ya ujenzi wa vyumba vya madarasa vya shule ya sekondari Utemini vilivyoathiriwa na nyufa kubwa na kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Shule ya sekondari utemini ni moja ya shule za sekondari za kata katika Manispaa ya Singida ambayo kutokana na athari ya nyufa imelazimika kufungwa ili kuepuka maafa ambayo yangeweza kutokea na kuathiri wanafunzi na walimu hivyo wanafunzi wake kupelekwa shule za jirani kwa muda.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu amemuahidi naibu waziri huyo kuwa Halmashauri yake itasimamia kikamilifu miradi yote iliyoletwa na itakayoletwa na kuhakikisha inatekelezwa kwa kiwango kinachotakiwa na kukamilika kwa wakati.

Manispaa ya Singida kwa mwaka fedha 2022/2023 imepokea zaidi ya shilingi bilioni 1.3 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinunya shule za msingi kupitia mradi wa BOOST na zaidi ya shilingi milioni 380 kupitia serikali kuu.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.