• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC DENDEGO ATOA MAAGIZO KWA WAAJIRI

Posted on: May 1st, 2024


Mkuu wa mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego, amewaagiza Waajiri wote mkoani humo kuhakikisha wanaruhusu Mabaraza ya Wafanyakazi kufanyika sehemu za kazi ili kujua changamoto na matatizo yanayowakabili wafanyakazi kwa nia ya kutafutia ufumbuzi haraka matatizo yanayowakabili nia ikiwa ni kuongeza ari na ufanisi sehemu za kazi.


Mkuu huyo wa mkoa wa Singida ametoa kauli hiyo katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika Kimkoa wilayani Ikungi Mei 1, 2024 katika viwanja vya stendi ya zamani.


RC Dendego, amesema Mabaraza ya wafanyakazi yanafaida kubwa kwa sababu yanarahisisha kujua changamoto za Wafanyakazi zinazoweza kusababisha kuzorota kwa ufanisi wa kazi hivyo changamoto zikitafutiwa majawabu mapema zisaidia wafanyakazi kuongeza bidii na ufanisi kazini.


“Mimi sio Muumini wa Watu wanaovunja Sheria hivyo Waajiri Wakatakao kaidi Maagizo yangu nitashughulika nao” Amesisitiza RC. Halima Dendego.


Aidha, Mkuu wa mkoa wa Singida ameonya kuhusu Waajiri ambao hawaruhusu wafanyakazi wao kuanzisha au kujiunga na Vyama vya Wafanyakazi na kusititiza kuwa jambo hilo ni kinyume cha taratibu na lazima likomeshwe haraka.


Kuhusu, Madeni ya Wafayakazi Mkoani Singida, Dendego amesema mkoa huo unaendelea na mchakato wa kulipa madeni ya wafanyakazi na kusema kuwa Wafanyakazi wa mkoa huo walikuwa wanaidai Serikali zaidi ya Shilingi Bilioni 1.9 na mpaka sasa Serikali imewalipa Wafanyakazi zaidi ya shilingi Milioni 700.


Amesema dhamira ya Serikali ya kulipa madeni ipo pale pale kinachotakiwa ni uvumilifu tu.

Dendego amewataka Waajiri wahakikishe wanaacha tabia ya kuzalisha madeni mapya ikiwemo kuhamisha watumishi bila stahiki zao.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA) mkoa wa Singida Bi. Agnes Lucas ameishukuru Serikali kwa kuendelea kulipa madeni ya Wafanyakazi, upandishaji wa madaraja na kuboresha mazingira ya kufanyia kazi ikiwemo kuwapatia vitendea kazi vya kisasa hali ambayo imesaidia kuongeza ari na uwajibikaji Sehemu za kazi.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.