• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SINGIDA AAGIZA MADEREVA BAJAJI NA PIKIPIKI KUSAIDIWA KUANZISHA SACCOS.

Posted on: April 25th, 2024



Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego,amemwagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida kukaa na Viongozi wa Madereva Pikipiki na Bajaji wa Halmashauri ya hiyo ili kuona njia bora ya kuwasaidia kuanzisha chama cha kuweka na kukopa (SACCOS) ambacho kitawasaidia kukopa fedha kwa ajili ya kununua vyombo vyao vya usafiri badala ya kuendesha vya watu hali ambayo itawasaidia kuboresha maisha yao.


Amesema kwa sasa chama chao kina wanachama zaidi ya 4,000 hivyo wanaweza kukopeshwa na kurejesha mikopo yao kwa haraka kama Watendaji watawasaidia kuanzisha SACCOS yao.


Dendego, ametoa agizo hilo (leo Aprili 25, 2024) kwenye Mkutano wake na Madereva wa Bodaboda na Bajaji katika Viwanja vya Bombadia kwa ajili ya kusikiliza kero zinazowakabili madereva hao na kuzitafutia ufumbuzi.


“Wakianzisha SACCOS yao wapelekeeni milioni 200 waweze kukopeshana wao kwa wao kwa sababu wanajua na ulipaji wao utakuwa ni rahisi kuliko kukopesha makundi mengine ambayo hayaeleweki kwani watajiimarisha kiuchumi kwa kununua vyombo vyao vya usafiri kwa sababu kazi wanaiweza” amesisitiza RC Dendego.


Aidha Mkuu wa Mkoa Dendego amepiga marufuku madereva wa bajaji na pikipiki katika Manispaa ya Singida kulipa tozo yoyote bila kupewa risiti na mtu anayetoza tozo hizo kwakuwa ni kinyume na utaratibu wa Serikali.


Amewataka watendaji wanaokusanya ushuru kuhakikisha wanatoka risiti Kwa waendesha bajaji na pikipiki na kuongeza kuwa ni jambo la aibu kwa Watendaji hao wanaokusanya mapato ya Serikali kushindwa kutoa risiti wakati msisitizo mkubwa wa Serikali ni kuwa malipo halali ya aina yoyote lazima mnunuzi apewe risiti ili Serikali ipate mapato kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.

“Haiwezekani kwa Serikali tuwe wa kwanza kutotoa risiti hilo halipo na haitawezekana tunataka haki bini haki, Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida ukakae na Mzabuni ili muweke utaribu wa kutoa risiti kama Serikali inavyoelekeza”. RC Dendego

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.