• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SINGIDA AHIMIZA VIONGOZI MBALIMBI KUSHIRIKI KATIKA KUHAMASISHA WAZAZI JUU YA CHANJO YA SARATAINI YA MLANGO WA UZAZI..

Posted on: April 16th, 2024

Viongozi mbalimbali wenye ushawishi mkubwa katika jamii wametakiwa kuhamasisha wazazi kupelekea  watoto wao wa kike wenye umri kuanzia miaka 9 hadi 14 kupata chanjo ya saratani ya mlango wa uzazi.

Rai hiyo imetolewa jana Aprili 15, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, wakati wa kikao cha uhabarisho kuhusiana na chanjo ya saratani ya mlango wa uzazi ngazi ya mkoa, kilichojumuisha wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, viongozi wa dini, kamati ya usalama mkoa na wataalamu wa afya kutoka katika wilaya zote za mkoa wa Singida.

Amesema chanjo hiyo inayotolewa kwa mabinti wenye umri kuanzia miaka 9-14 inalenga kuwapa kinga watoto wa kike ya kuwakinga na ugonjwa huo hatari ambao kwa wanawake unaambukiza kirahisi kwa njia ya kujamiiana.

“…..tunajua jamii zetu zinamitazamo tofauti na tunaishi kwenye mila na desturi tofauti lakini katika hili lazima tuungane sote kwani madhara ya ugonjwa huu yanatuathiri wote bila kuangalia tofauti zetu” amesisitiza Dendego.

Dendego amewataka viongozi hao kutumia majukwaa yao kuwahamasisha wazazi  kuwapeleka mabinti zao wenye umri huo  katika vituo vya kutolea huduma vilivyoainishwa ili kupata chanjo hiyo ya saratani ya mlango wa uzazi.

Naye mratibu wa chanjo Mkoa wa Singida, Jadili Mhanginoma, amesema, utoaji wa chanjo hiyo unatarajia kuanza rasmi Aprili 22 hadi 26 mwaka huu na kwamba zoezi litaendelea hadi mwezi Desemba 2024 ili kuwafikia walengwa wote ambapo kwa mkoa wa singida Jumla ya wasichana 178,114 wanatarajiwa kuchanjwa chanjo hiyo.

Aidha wanginoma amesema jumla ya dozi 191,040 zimeshapokelewa na usambazaji kwenye halmashauri unaendelea

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.