• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SINGIDA AIPONGEZA HALMASHAURI YA MANISPAA KWA KUPATA HATI SAFI NA KUVUKA LENGO LA UKUSANYAJI MAPATO

Posted on: June 26th, 2024


Mkuu wa mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Singida kwa kupata hati safi, lakini pia kwa ukusanyaji mzuri wa mapato ya ndani na kuifanya Manispaa kuvuka lengo kwa asilimia 100.

Dendego ameyasema hayo leo katika mkutano maalum wa Baraza la Madiwani la kujadili hoja za Mdhibiti na  Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) uliofanyika katika Ukumbi wa Mwenge Sekondari, Manispaa ya Singida.

Dendego amesema kupitia taarifa zilizowasilishwa amepata darasa ya kuwa Halmashauri ya Manispaa ina malengo mazuri na kwamba fursa ya kukusanya mara mbili zaidi ipo wazi.

Aidha ameonesha furaha yake ya kukutana na madiwani wote na kusema ameona uchungu walionao kwa wananchi wanaowawakilisha na kwamba yeye na viongozi wenzake watahakikisha wanawajengea uwezo watendaji katika ngazi zote ili kuhakikisha wanawajibika ipasavyo.

Amewataka watumishi waliopo Manispaa kuona uwepo wao katika taasisi hiyo sio upendeleo bali wameaminiwa hivyo watimize wajibu wao kwa kusikiliza wanayoshauriwa na viongozi wao pamoja na kufanya kazi kulingana na taratibu, sheria na kanuni zinazowaongoza.

“Mapato mara mbili inawezekana endapo kila mmoja akichukuwa hatua katika eneo lake…”, amesisitiza RC Dendego.

Mkuu wa Mkoa ametumia fursa hiyo pia kuipongeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Mkoa wa Singida kwa kuwa mwalimu mzuri ambaye wakaguzi wake mekuwa wakitoa maelekezo kwa upendo hivyo kuwataka watendaji kutoiangusha ofisi hiyo kwa kutekeleza vyema maelekezo wanayopatiwa. 

Ameitaka halmashauri kuhakikisha ifikapo robo ya kwanza 2024/2025 iwe imekamilisha ujibuji wa hoja zote za nyuma na kuwataka wakuu wa idara na vitengo kuhakikisha hawazalishi hoja nje ya hoja za kisera,

“Natoa msisitizo wakuu wote wa Idara na vitendo hakuna kuzalisha hoja nje ya zile hoja za kisera…” amesisitiza Dendego.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.