• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI MKOANI SINGIDA KUWACHUKULIA HATUA WAZAZI WANAOWAZUIA WATOTO KWENDA SHULE

Posted on: April 28th, 2023

Serikali mkoani Singida imedhamiria kuchukuwa hatua kali kwa wazazi wataobainika kuwaficha watoto wasiende shule lengo likiwa ni kuinua kiwango cha Elimu mkoani hapa.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amesema hay oleo tarehe 27, April, 2027 katika kikao cha wadau wa elimu kilichofanyika mkoani Singida katika ukumbi wa RC Mission Manispaa ya Singida ambapo alikutana na wadau mbalimbali wa elimu kjadili changamoto zinazoikabili sekta ya elimu.

Serukamba amesema utoro na mdondoko wa wa wanafunzi katika mkoa wa Singida ni mkubwa  ambapo jumla ya wanafunzi 9,134 sawa na asilimia 11 ya wanafunzi waioandikishwa  mwaka 2029 walishindwa kufika darasa la nne jambo ambalo amelielezea kuathiri wanafunzi katika ufaulu na upimaji hasa wanapokuja kufanya mitihani.

Mkuu wa Mkoa Serukamba amebainisha kwamba mbali ya utoro wa wanafunzichangamoto nyingine inayorudisha nyuma wanafunzi kielimu ni ukosefu wa chakula , ambapo alisema kati ya  shule 479 sawa na asilimia 78 ya shule a sekondari, shule 53 sawa na asilimia 40.85 hazitoi chakula na hivyo kuchangia katika mdondoko wa wanafunzi

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatma Mganga amesema, wakuu wa shule katika mkoa wa Singida wanapaswa kuhakikisha  wanasimaia kikamilifu stadi za KKK kutokana na wananfunzi zaidi ya  34,000 sawa na asilimia 19.18 kushindwa kumudu  stadi za  KKK yaani Kusoma, Kunadika na Kuhesabu .

Dkt, mgnga amewataka walimu awakuu hao kuhakikisha wanatumia rasilimali zisizotumia gharama zinazopatikana katika maeneo yao ikiwa ni pamoja na vijiti na visoda ili kumsaidia mtoto kujua hesabu, mbino ambazo zilitumika awali.

Mganga ametumia pia fursa hiyo kuwaomba wazazi kuchangia upatikanaji wa chakula shuleni hasa katika kupindi hiki cha mavuno ili kuwawezesha watoto kupata chakula shuleni na hivyo kupunguza idadi ya watoro na kuboresha mahudhurio shuleni na kuinua kiwango cha ufaulu.

Ametoa wito kwa wadau kuhakikisha kila mmoja anatimiza wajibu wake  kwani serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya shule ikiwemo ujenzi  wa vymba vya madarasa, kuongeza matundu ya vyoo na kuongeza walimu

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.