• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI NA WADAU WILAYANI SINGIDA WATATUA CHANGAMOTO YA MALAZI KWA WAFUNGWA

Posted on: December 9th, 2022

Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Singida, wamekabidhi msaada wa magodoro 74 na blankenti 143, wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru, ambayo hufanyika kila mwaka siku ya Disemba 09, hapa chini.

Akikabidhi vifaa hivyo mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili, amesema kuwa, wamelazimika mkutoa msaada huo badaa ya kubaini kuna uchakavu uliokithiri wa magodoro na mablanketi katika Grereza hilo, hivyo kuhitaji msaada wa vifaa hivyo.

Mhandisi Mulagiri, amesema kuwa wananchi hawanabudi kujenga tabia ya kuwajali na kuwapenda watu wenye mahitaji mbalimbali, wakiwemo wafungwa kwani pia wao ni binadamu na wana haki zote za msingi.

Mkuu huyo wa wilaya aliyeambatana na wajumbe wa kamati ya usalama ya Wilaya hiyo, ameutaka uongozi wa gereza la Singida kuhakikisha vifaa vilivvyotolewa vyote  vinatunzwa ili viweze kudumu kwa muda mrefu.

“Leo unaweza kulazwa hospitalini ukawa mhitaji, lakini pia ukafanya kosa dogo tu likakufikisha gerezeni, sasa natoa wito kwa wananchi tujenge tabia ya kujitoa kwa watu wenye uhitaji mbalimbali” amesema Mhandisi Mulagiri.

Baadhi ya Wadau wa maendeleo waliotoa michango hiyo ni pamoja na Manispaa ya Singida, Kamati ya Usalama Wilaya na Halmashauri ya Wilaya Singida. Wengine ni TRA , Mount Meru Millers, Regency Hotel , Lake View Hotel naTANESCO

Katika hatua nyingine,jumla ya wafungwa 287 wa gereza la Singida wamepata msamaha wa Rais na hivyo kuachiwa huru, wakiwemo wafungwa wanawake wawili na wanaume 127, huku kundi la pili likijumuisha maabusu wanawake wanane na wanaume 121.

Akitoa taarifa mbele ya mkuu wa wilaya, mkuu wa Gereza la Singida, Mrakibu wa Magereza, Mohammed Ng’anzi, aliishukuru serikali na wadau waliojitoa kwa ajili ya kusaidia vifaa hivyo, ambavyo ni muhimu kipindi hiki, baada ya kuwepo kwa changamoto za uchakavu uliokithiri wa vifaa hivyo.

Mrakibu huyo ametaja gharama za mahitaji hayo kuwa ni shilingi 7,290,000, na akatoa rai kwa wananchi na wadau wengine wa maendeleo, kuhakikisha wanajitoa katika kutatua changamoto za mahitaji kwa walengwa.

Wakati huo huo Mkuu wa Wilaya ya Singida amefungua mdahalo wa maadhimisho wa miaka 61 ya uhuru kuhusu masuala ya uchumi, uzalendo, huduma za jamii na rushwa, uliofanyika katika Ukumbi wa chou cha uhasibu nakudhuruiwa na wadau mbalimbali vikiwemo vyama vya siasa, viongozi wa dini, wataalamu mbalimbali , watumishi wa umma na wananchi kwa ujumla

Aidha zoezi la uchangiaji damu limeendeshwa katika eneo hilo kwa wananchi waliojitokeza.

 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • INEC YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA VYA SIASA WALA KIAPO CHA UTII

    May 12, 2025
  • MANISPAA YA SINGIDA YATAKIWA KUPIMA MAENEO KABLA YA KUTEKELEZA MIRADI

    May 09, 2025
  • “PONGEZI KWAKO, RC HALIMA DENDEGO”

    May 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.